King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,456
Hizo sababu hazitakosekana maana marefa na PGMOL na FA kila mtu anajua wanatuchukia. Sisi mpango wetu ni ule ule wa kila msimu, kufunga kila timu japo tunaonewa.
Ashukuriwe muumba St. James park tumevuka salama. ila tukiendelea na huu udwanzi sijui itakuwaje tukikutana na Brighton, Crystal palace, Fulham, Aston Villa halafu kuna pale City Ground kwa Nuno na kijana wake Chris Wood, kubwa la maadui Everton Tottenham ya Thomas Frank nayo ndo imekuwa Hot Spurs kweli kweli. huu mwaka tutashuhudia mengi aisee
Mkewe alitegemea kujifungua Jana hivyo alipewa ruhusa.Hivi MacAlister yupo wapi?
Huko ndiko kuna mpira aiseee
Hawa nao wanapiga mimba mno 🤣Mkewe alitegemea kujifungua Jana hivyo alipewa ruhusa.
YNWA
This tactic of the goalkeeper taking free kicks, I see even Thomas Frank uses it a lotAbsolute chief! He was very impressive today. Newcastle wametufunga na magoli yao ya ajabu golikipa ndio anapiga free kick 😂 . And with Frimpong absent, they decided to exploit that space and push through.
Hujangalia mpira mkuuFront three jana yote imescore
- Ekitike
- Salah
- Gakpo
Kama hawa watatu watabaki kwenye Consistency basi msimu huu utakuwa mwepesi sana kwetu
Nadhani wewe ndo umem'quote wrong.Hujangalia mpira mkuu
I usually don’t watch African football because they play like high school kids. Big teams must win, even if it’s through blatant favoritism, and then there’s the issue of team officials believing in witchcraft in football.Aisee kila nikitazama epl naona africa kuna ujinga mwingi .. ona viwango vya hao watoto wa liver na yule wa Newcastle katika umaliziaji yaani balaa tupu
Kwenye FUTUHI kina kipengele cha wa kukurupukaHujangalia mpira mkuu
You nail it Joh! Wirtz the way he run the way he struggles to catch the ball through its enough to say he's good playerI won’t judge a player after just two matches, the judgments should start from December.
Wirtz makes very good runs, it’s just that his teammates haven’t yet understood his style and that’s something that can be taught. I have no worries at all.
Some people have already started suggesting that in the match against Arsenal he should only play the second half, but doing something like that while he’s still trying to find his performance would completely kill his confidence.You nail it Joh! Wirtz the way he run the way he struggles to catch the ball through its enough to say he's good player
Yesterday night every back opponent pass he block it by offensive and defensive spinning everywhere whenever we have a ball or not. He is a professional player let's give more time
Monster what's a player...
Yesterday, my MOTMs were many VVD, Grav, Szobo, Gakpo, and Rio 😂😂Monster what's a player...
Kilaka wa Slot.
YNWA
kila team inahitaji kuwa na player kama Szobo. jamaa ni noma lile goal la Rio Ngumoha naweza sema ile ni assist yake