Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🚨⚪️⚫️ BREAKING: Newcastle statement in response to Alexander Isak.

We are disappointed to have been alerted to a social media post by Alexander Isak this evening.

We are clear in response that Alex remains under contract and that no commitment has ever been made by a club official that Alex can leave Newcastle United this summer.

We want to keep our best players, but we also understand players have their own wishes and we listen to their views. As explained to Alex and his representatives, we must always take into consideration the best interests of Newcastle United, the team and our supporters in all decisions and we have been clear that the conditions of a sale this summer have not transpired.

We do not foresee those conditions being met.

This is a proud football club with proud traditions and we strive to retain our family feel. Alex remains part of our family and will be welcomed back when he is ready to rejoin his teammates”.
 
Kwamba hatuna ela ya kuwashawishi Hawa jamaa wamwachie dogo kwa maana kwamba 'we don't foresee condition being met'......
FSG kwa hii ishu wamwokoe bwana mdogo. Nina Imani Isak asingetoa Ile statement kama hana uhakika wa kutua Liverpool. Itakua behind the scenes kuna taarifa Nini afanye na wakati gani.

YNWA
 
Mimi hili suala lishanichosha sanaaaaa kha!
 
FB_IMG_1755676774492.jpg
 
Tuondoke nayo hii kwa lugha ya kiswahili

Ninajivunia kutambuliwa na wachezaji wenzangu wa kitaaluma kwa kupata nafasi katika Kikosi cha Msimu cha Ligi Kuu ya England (PFA Premier League Team of the Season) kwa mwaka 2024/25.

Kwanza kabisa, nataka kuwashukuru wachezaji wenzangu na kila mtu Newcastle United ambaye amenisaidia katika safari hii.

Sipo kwenye sherehe usiku wa leo. Kwa kila kitu kinachoendelea, haikunihisi sawa kuwepo pale.

Nimekuwa kimya kwa muda mrefu huku wengine wakiongea. Ukimya huo umewaruhusu watu kusukuma matoleo yao wenyewe ya matukio, ingawa wanajua hayawakilishi kile kilichosemwa na kukubaliwa kwa siri.

Ukweli ni kwamba ahadi zilitolewa na klabu imefahamu msimamo wangu kwa muda mrefu. Sasa kujifanya kana kwamba masuala haya ndiyo kwanza yanaibuka ni kupotosha.

Wakati ahadi zinapovunjwa na imani inapopotea, uhusiano hauwezi kuendelea. Hapo ndipo mambo yalipo kwangu sasa — na ndiyo maana mabadiliko yako katika maslahi ya kila mtu, si yangu peke yangu.

Alexander Isak
 
NITAKUPA MAELEKEZO NI KWA NAMNA GANI HII KAULI ITAIBUA ATHARI KWA ISAK NEWCASTLE NA CLUB NYINGINE YEYOTE ITAYO MUHITAJI
athari hizo ni positive pamoja na Negative.
Binafis imeniumiza sana Isak kukoseka kwenye zile tuzo za usiku wa Jana PFA premier

Kauli ya Alexander Isak ina athari kubwa kwa pande zote tatu: yeye mwenyewe, Newcastle United, na klabu zinazomhitaji (hasa Liverpool)

1. Kwa Isak mwenyewe

Ameweka wazi kwamba hana tena imani na Newcastle, kitu ambacho kwa mchezaji wa kiwango chake ni mbaya zaidi endapo club itasimama kwenye commitment ya mkataba na wakati yeye anadalili ya kuondoka.

Anajilinda mbele ya mashabiki wake kwa kueleza kwamba “ahadi zimevunjwa,” hivyo kuonyesha kuwa tatizo si yeye bali ni klabu.
Anataka dunia ijue kuwa hana tatizo na mashabiki bali tatizo liko kwenye usimamizi wa klabu.
 
2. Kwa Newcastle United

Ni pigo kubwa kwa sababu Isak ndiye mfungaji bora wao msimu uliopita (2024/25) na moja ya nyota wanaomtegemea.

Kauli kama hii inachafua picha ya klabu, kwa kuwa inamaanisha uongozi unashindwa kutimiza ahadi.

Mashabiki wa Newcastle sasa wamesalia na shaka kubwa mno na maswali ya mwana nenda mwana rudi: je, klabu inaongozwa vizuri? Au kuna umafia unaendelea chini kwa chini?
Mimi na ww pia hatuelewi kuhusu hili

3. Kwa Liverpool (na vilabu vingine vinavyomfuatilia)

Liverpool wanaonekana kama wana nafasi kubwa kumchukua, kwa kuwa sasa mchezaji mwenyewe ameonyesha kutaka mabadiliko.

Kauli hii ni kama ishara ya wazi kwa klabu nyingine kwamba “Isak yupo sokoni.”

Bei yake inaweza kuwa kubwa sana, lakini sasa Newcastle huenda wakalazimika kuuza kuliko kumbakisha kwa nguvu. Hivo ikawa ni faida zaidi kwa vilabu vingine.

😇😇Kwa mimi na wewe

ISAK kama ISAK naona ni mfano wa mchezaji mwenye uamuzi na msimamo, asiyekubali kufichwa nyuma ya pazia.

Ni uanaume kama mchezaji ukivunjiwa ahadi, ni haki yako kuja kuzungumza hadharani na sio kuficha ficha.
 
View attachment 3446473
Niliigusia kwa namna nyingine Jana kwenye group hiii
Ni sahihi kaka, rest defense ni sawa na haikuwepo tu, gap lilikuwa kubwa kati ya vvd and konate,
Hata Endo angesimama katikati yao ingezima shambuliziblile kiurahisi. Offensively ni system nzuri hasa kwa low block teams, ila athari yake ni umakinifu mdogo tu inawaumiza.

Lets wait and see what Leoni will give us.

Vs Newcastle will be a war match.

Ynwa
 
Hua mbinu ni nyingi aisee Isak asingetoka hivi kama hana uhakika Liverpool kumhitaji na kua na hio ela ya kuingia front
Hii yote ni mipango tu

YNWA
Isak amesema kwenye insta short stories ya kwamba wamenisaliti walichokisema msimu uliopita sicho wanacho fanya
Nukuu

Promises were broken," trust is gone, the relationship can’t continue—change is best for all.

Newcastle wanakana lakini mwamba hawezi Jidanganya
 
ISAK amegoma kabisa kuonekana kama mtoto...
Walichokifanya Newcastle ni ubabaifu msimu wa 23/24 liverpool alishaweka words negotiation na wakala wa Isak pamoja na team in general, under Klopp by that time lkn castle ni wasaliti Mbwa hawa
 
Isak amesema kwenye insta short stories ya kwamba wamenisaliti walichokisema msimu uliopita sicho wanacho fanya
Nukuu

Promises were broken," trust is gone, the relationship can’t continue—change is best for all.

Newcastle wanakana lakini mwamba hawezi Jidanganya
Ikifika mahala kama hapa hua lazima mmoja akumbali yaishe na muda mwingi hua ni Klabu maana Haina maana kua na mchezaji kikosini ambae hana furaha kuwepo yaani Mwili upo lakini akili hazimo kabisa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom