Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Our defending patterns were poor.
Rest defense was poor, tukipokonywa tu wakati wa attacking moment unaona duka jeupe.
It's not only about vvd,konate ila system structure haikuwa nzuri plus lacking natural or quality DMF imeleta hayo magoli mawili.
Wakati mnapanga mashambulizi yenu mnapaswa pia kupanga kujilinda kwenu kwani mipango yenu inaweza kukinza na mnao washambulia.
Rest defense system inawasaidia kufanya probability calculation za opponent counter attack.
Ukiangalia how we lost possession on both goals, how we were defending aisee unaona kama hakuna seriousness. Too soft.
Japo makosa hayo no coachable kabisa hopefully Slot ameliona hilo as per his post match interview tutarajie changes.
View attachment 3446257
Hapo nyuma ya kina semenyo na Szobo alistahili awepo no. 6 , na nyuma yake kwa chini na kwa juu wawepo CB's. Hiyo ndio rest defense nayoongelea. Kwa muundo huo wa kwenye pic unaachwa vipi kufungwa?
View attachment 3446260View attachment 3446260
Hapo Robbo alipaswa kuwa hiyo counter as per Slot na ukiangalia yes kwa sababu alikuwa karibu na movement hiyo.
Anyway ngoja tuone WWIII vs Magpies na saga ya Isak they gonna kill us.
Ynwa.
Isak's Stance
Newcastle's Position
Liverpool's Interest
Huyo kerkez muondoeni kikosini mapema hatutaki lawama badae, mbele ya safari huko kuna kibaba mbeumo, kuna Saka, kuna Kudus kuna Estevao. Msiseme mlikua hamjui.View attachment 3446222
Kerkez, Sobo,Konate waongeze umakini
Sobo = Grav
Kerkez= Robbo
Konate = Guèhi 🤣
Hatuna muda wa majaribio hapa.
YNWA
Kwa hiyo hawa jamaa wameamua wageni warudi walikotoka? Kazi kweli kweli!
Dogo wamwachie akale Maisha Anfield bwana!
Bwana bwana hatuna namna atakomaa akiwa huko humo uwanjani.Huyo kerkez muondoeni kikosini mapema hatutaki lawama badae, mbele ya safari huko kuna kibaba mbeumo, kuna Saka, kuna Kudus kuna Estevao. Msiseme mlikua hamjui.