Sehemu ambazo Arne Slot amefeli leo kiujumla
1. Amekosa defensive reset
Fabinho type defender hana kabisa huyu mzee unatoa frimpong unaeka Endo km full back kweli???? Ukizingatia Konate amepata mental elapse baada ya kugundua Mniga mwenzake amekuwa discriminated akapotea kbsa kimchezo na sio yy weng tu walipaniki hii inshu ni serious sana kwa Nchi za wenzetu
1. Hakukuwa na uwiano kati ya pressing na defending.
Yani hii 3 2 5 kila mtu anajikuta yuko mbele anataka kufunga tunajisahau sana
Yani pressing haikuwa coordinated kiumjumla. Ndomana kipara ameshika kichwa baada ya goal la chiesa, kuonesha kuwa amekili makosa na akatumia akili kuyarekebisha na yakaleta Impacts postive.
YNWA.