Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ladder1.png
 
What the hell is this Goddammit 😳! Full excitement that is a meaning of EPL

Game ilikuwa emotional sana hii

Mohamed Salah: Baada ya kufunga goli la mwisho,ameshangilia kama Jota na sio wajaze... alielekeza mikono juu na kufanyia ishara ya sala/dua. Ilikuwa ishara ya kutoa heshima na kumwombea Jota mbele ya mashabiki wote.

Hugo Ekitike: Baada ya kufunga goli lake la kwanza kwa Liverpool, alishika jezi yenye namba 20 (namba ambayo Jota alikuwa anavaa) na kuinua juu akionyesha ishara ya kumkumbuka. Hii ilikuwa kama kusema, "Goli hili ni kwa ajili yako, kaka.” ni unyama tu.... na Gakpo nae hivo hivo ishara ya namba 20

Ila binafsi nimesikitishwa sana na mashabaki wa kona ya kulia kwa goalside ya Liverpool 1st half,
Hivi Ubaguzi wa rangi bado unaendelea tu duh!kuna tukio kubwa limeendela uwanjani leo pale ambapo Simenyo alitemewa shit kisa rangi yake na kulushiwa kiatu

katika dakika ya 30 mpira ulisimama na kukaonekana kama kuna mazungumzo kati ya police,coach wa pande zote mbili na wasaidizi wa mchezo. Kumbe inshu ilikuwa ni hii

YNWA
 
Sehemu ambazo Arne Slot amefeli leo kiujumla
1. Amekosa defensive reset

Fabinho type defender hana kabisa huyu mzee unatoa frimpong unaeka Endo km full back kweli???? Ukizingatia Konate amepata mental elapse baada ya kugundua Mniga mwenzake amekuwa discriminated akapotea kbsa kimchezo na sio yy weng tu walipaniki hii inshu ni serious sana kwa Nchi za wenzetu

1. Hakukuwa na uwiano kati ya pressing na defending.

Yani hii 3 2 5 kila mtu anajikuta yuko mbele anataka kufunga tunajisahau sana
Yani pressing haikuwa coordinated kiumjumla. Ndomana kipara ameshika kichwa baada ya goal la chiesa, kuonesha kuwa amekili makosa na akatumia akili kuyarekebisha na yakaleta Impacts postive.

YNWA.
 
Sijabahatika kuwa na jicho la kiuchambuzi ila nahisi Gakpo anashida katika upande wa right decisions.
Good umeanza vizuri mkuu, kuwa hujabahatika kuwa na jicho la mpira.
Mkuu jana upande wa gakpo ndio ulikuwa moto same mechi na crystal palace.
Nadhani unamaanisha Gakpo akishakuwa na mpira akiwa anajaribu kuingia ndani asifanya maamuzi tofauti na kushoot.
 
Good umeanza vizuri mkuu, kuwa hujabahatika kuwa na jicho la mpira.
Mkuu jana upande wa gakpo ndio ulikuwa moto same mechi na crystal palace.
Nadhani unamaanisha Gakpo akishakuwa na mpira akiwa anajaribu kuingia ndani asifanya maamuzi tofauti na kushoot.
sio kushoot, ile second half alipotakiwa kushoot alikuwa anaachia kwa mwenzake and vice versa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom