Arne Slot.
4-2-3-1 on paper ila on the pitch 3-1-3-3, changamoto yake ni hapo kwenye hiyo 1 yatajirudia ya Palace kama tutaenda na Jones as anchor. Faida yake ni time and Space, kwamba mnakuwa karibu karibu, muda mfupi kupenyeza pasi na kwa haraka na possibility ya kupoteza inakuwa ndogo. Hivi ndivyo anaamini Slot katika kunenga mashambulizi yake.
Kuna kuwa na Spaces nzuri kati ya line mbili za mwisho ila gape ipo katika ya line ya tatu na ya pili kuanzia mbele.
Kwa mf. Mechi ya Palace, mstari wa juu ulikua na Gakpo, Hugo na Salah, nyuma yake Szobo Wirtz na Frimpong nyuma yake Jones nyuma yake Vvd Konate Kerkez.
Gape kubwa ni kati ya mstari wa kina wirtz na Jones ndio maana without quality dm ni disaster, kwan unahitaji DM mwenye uwezo wa kunusa harufu za hatari kwa haraka kabla haijatokea monster without the ball kwa mfumo huu. (Eg. Prime Fabinho) Destroyer. Kwa mfumo huu long balls ndio silaha kubwa ya kuuvunja vunja. Ni mfumo wa karaha sana kwa wapinzani na tiba nzuri ya Low Block. Overload ni rahisi kuwa applied kwa sababu ya ukaribu unaojengwa kati ya mchezaji na mchezaji. Ndio maana ukiitumia game ya Palace kama case study, utaona muda mwingi Ekitike Wirtz na Gakpo walikuwa upande mmoja, Salah, Szobo, Frimpong wanakuwa upande mmoja kuna interchanges zilitumika, kwa Szobo unamkuta Wirtz na vuce versa na wachezaji wengine depend na move ya mpira ilikukuta wapi.
It's a good system only if you have disconnecter, destroyer at the middle of the park. Hata build up kuanzia nyuma kuna 3 players wanaanza nayo. Kwa mf. Kerkez Vvd and Jones wanatengeneza triangle shape, au Frimpong Jones Konate kwa Jones muweke Szobo (where it due).
No Gravern, yes suspension, lets go with Macca as 6, najua Endo hawezi kuaminika na Slot. But if Slot Endo and Macca will be my stater today.
No pressure No Huge expectations just win 2-0, Hugo on the score and Wirtz or the assist board.
Top of the table where we ended last.
Ynwa