Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,276
ukiwa na Anchor DM hata ukiwa na fullbacks mbilikimo ili mradi wawe na kasi na uwezo wa kutoa pass/kross kwa ufasaha😄Mfumo huo utakusumbua ukikutana na mashambulizi ya kushtukiza.
Una- expose team na kuiweka kwenye hatari ya kufungwa magoli mengi... Reference..Aston villa 7 Liverpool 2 (sarr)
Hapana, hii Siri liver wameigundua...VVD,KONATE,MATIP,ANOLDukiwa na Anchor DM hata ukiwa na fullbacks mbilikimo ili mradi wawe na kasi na uwezo wa kutoa pass/kross kwa ufasaha😄
Watu wafupi ni wabishi aana, ukiwaweka Defence watakuchomesha tuHapana, hii Siri liver wameigundua...VVD,KONATE,MATIP,ANOLD View attachment 3440035
Huwezi kuleta mbilikimo apambane na bull strikers kama haland,mbappe,dembele au Mawinga wa baka utakuwa unachekesha...😀😀😀ukiwa na Anchor DM hata ukiwa na fullbacks mbilikimo ili mradi wawe na kasi na uwezo wa kutoa pass/kross kwa ufasaha😄
Ni wabishi lakini kwenye mpambano na striker katiri kadi Zinamuhusu,Watu wafupi ni wabishi aana, ukiwaweka Defence watakuchomesha tu
Jones, Gomes should not even wear Liverpool shirtsHuwa sipendi Jones aanze mbele ya Elliot au Endo ila ninapokumbuka Kuna yellow na red card naelewa Nini tatizo
Endo yupo?DM Mwenyewe hatuna😄
tumebeba epl bila dm - Haina shida kabisaDM Mwenyewe hatuna😄
Huyo ni mbovu wa pass, Slot anapendelea pasi fupi fupi na za haraka Endo hiyo kazi haiweziEndo yupo?
Nina uhakika kilichotutoa UCL ni Mido ya PSG, Tulikamatika kati mwa uwanja na pressing yao ilikuwa ni balaa mnoooo, Grav na Mac walipoteana, uhitaji wa DM ni muhimu sana, natumai dirisha la January utakuwa usajili namba mojatumebeba epl bila dm - Haina shida kabisa
Unajua mwanamke akipenda hua kapenda kweli",.
Ndio mfumo wa Slot japo ana twist kiasi kwa kumhitaji ball retention zaidi na kushambulia pale inapotokea nafasi... mabadiliko ya sasa ni kwamba Slot amecheza pre season yote kwa kutumia man to man tactics ambayo ina wa expose Hawa mabeki wa pembeni hawaelewi wawe wapi na wakati gani japo hata VVD na Konate nao wanatakiwa kusoma movement za wapinzani na watoe maelekezo mapema kwa LB na RB ili kubana mianya pale nyuma. Ukitazama goli la pili la Crystal utaona ni communication ishu ya pale nyuma tazama alipo Kerkez na VVD yaani . Liverpool hatujawai kua salama kucheza man to man hivyo Slot akae na timu yake ya makocha kile walichofanya msimu uliopita ndio hicho hichoMfumo huo utakusumbua ukikutana na mashambulizi ya kushtukiza.
Una- expose team na kuiweka kwenye hatari ya kufungwa magoli mengi... Reference..Aston villa 7 Liverpool 2 (sarr)
Why ameamua kuna na huu mfumo ambao ni too risky na unanyima timu space ya innovation?Ndio mfumo wa Slot japo ana twist kiasi kwa kumhitaji ball retention zaidi na kushambulia pale inapotokea nafasi... mabadiliko ya sasa ni kwamba Slot amecheza pre season yote kwa kutumia man to man tactics ambayo ina wa expose Hawa mabeki wa pembeni hawaelewi wawe wapi na wakati gani japo hata VVD na Konate nao wanatakiwa kusoma movement za wapinzani na watoe maelekezo mapema kwa LB na RB ili kubana mianya pale nyuma. Ukitazama goli la pili la Crystal utaona ni communication ishu ya pale nyuma tazama alipo Kerkez na VVD yaani . Liverpool hatujawai kua salama kucheza man to man hivyo Slot akae na timu yake ya makocha kile walichofanya msimu uliopita ndio hicho hicho
YNWA
Na Mimi huwa namlilia keleher lwe🤣🤣🤣🤣🤣Ikifika penati Saint Anne hajawai kumwamini AB1 haha ila kwa mechi kama mechi bila penati AB1 ni levo zingine kabisaaa.
YNWA
Haiondoi ukweli kwamba hawezi kudaka mechi za penati
I guess Slot anataka kuweka identity ya kwake kwa kua hii ya sasa ipo ki Klopp zaidi hivyo ni kama sasa anataka timu isomeke kwa mfumo wake na sio Klopp. Sasa huo mfumo bila kusajili DM kam Rodri au Fabinho hawezi kua salama maana ulinzi panakua wazi sana muda mwingi na ukizingatia mabeki wa pembeni ni kama ma winga vile vile...Why ameamua kuna na huu mfumo ambao ni too risky na unanyima timu space ya innovation?
Kua na utulivu Miss Liverpool AB1 kwenye penati sio kivilee lakini kwenye 1 vs 1 huko Kelleher atasubiri sana.Na Mimi huwa namlilia keleher lwe
Haiondoi ukweli kwamba hawezi kudaka mechi za penati
Haha😃 mkuu Mkuu lile kosi la Argentina CB na full backs zilikuwa zina urefu wa kawaida sana,, lkn nadhani kilichowaweka safe Argentina walikuwa wana viungo wenye Roho ya paka.Huwezi kuleta mbilikimo apambane na bull strikers kama haland,mbappe,dembele au Mawinga wa baka utakuwa