Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu yaani crystal palace abebe ligi😁
 
Mkuu yaani crystal palace abebe ligi😁
Si ndiyo hapo sasa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ . Mtu anakuambia kuwa kihistoria mshindi wa community shield mara nyingi haendi kushinda ligi. Mimi nikajaribu tu kumuwekea context japo kidogo tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hawa tungekua na cdm baleba gk donnarumma, ingependeza kama tungepangiwa kucheza nao mechi ya kwanza. tena wakiwa kwetu old Trafford,maana wana vilaka vingi hawana DM na beki 😁😁. huyo slot(shaulini monki), mwache aendelee kupaka mafuta ya baby care kwenye ilo para lake. huyu atapugwa mda c mrefu yaani jamaa kwenye post match interview, hajazungumzia haya matatizo na jinsi ya kuyatatua yeye kaongea juu juu tu kama mkandala lufufu(R.I.P).
 
Si ndiyo hapo sasa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ . Mtu anakuambia kuwa kihistoria mshindi wa community shield mara nyingi haendi kushinda ligi. Mimi nikajaribu tu kumuwekea context japo kidogo tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Vituko ni vingi sana mkuu.
 
We kinabo kweli nitafungwa na. Timu zote ila sio manyumbu
 
Kweli we ni nyumbu kwahiyo Liverpool inaviraka kuidi nyie manyumbu akili Yako ipo makalioni umesaajili mzee bonge nyanya mbeumo naona akili imekuluka umesahau nafasi zako ni za kushuka daraja
Unaandika kama mtu aliyetawaziwa gongo akalewa kiuno. Wew ni shabiki wa liverfoolish usie na akili mashabiki wenzako wenye akili na wachambuzi makini wa mpira wamezunguzia vilaka vyenu ambavyo vitawakosti msimu huu wa ligi lakini wew boya na dishi lako lililoyumba ambalo unalitumia kuhifadhia sisimizi humo ndani ndio unajizima data. Mnasajili washambuliaji kimbao mbao akina ekatikie na kusaha kuziba vilaka sehemu muhimu, na msimu huu mtashenyentwa sana.
 
Kuhusu suala la Isak sina matumaini ya kumpata dirisha hili la usajili, NUFC wapo UCL na wakimuuza Isak wanabaki na Gordon peke yake kama mshambuliaji tegemeo, ukiangalia pia sokoni forwards wote waliokuwa wanahusishwa nao wameshachukuliwa na timu nyingine.

Bila kusahau hawajaajiri mkurugenzi wa michezo
 

Asante kwa kunisogezea hii picha nilikuwa naitafuta πŸ™
 
🚨 | Alexander Isak has insisted he will not play for Newcastle United again, even if the transfer window closes without him leaving the club.

Isak feels his time at Newcastle is over and does not want to return to the squad.

Newcastle maintain that Isak is not for sale, but they are exploring options in the market, while Liverpool have shown interest in signing hi and Isak himself only wants Liverpool.
[Source: @davidornstein – @theathleticfc]
 

Huyu asipouzwa atakosa kucheza mpira msimu mzima kwasababu hata Newcastle hatokuwa na nafasi tena
 
Tuliza kinyeo hicho we nyumbu Dili na timu lako ambalo Kila msimu linafanya kazi ya kugombania kutokushuka daraja huku man of the mechi akiwa magwaya naona haulioni lilivyobovu mpaka mmefikia hatua kuleta kocha mhindi halafu unaanza kubinua kinyeo na kuona mapungufu ya timu zingine yaani unawasema wengine kwamba hawajavaa shati kumbe wewe umevaa suruali ila imetoboka nyuma makalio yote yapo nje yanapigwa upepo halafu unajisifia umevaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…