Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

upo sahihi mtaalam
Ila Kerkez na Robbo

Robertson bado ni mtaalamu wa kupitisha mpira (pass-master), mwenye uzoefu mkubwa na ufanisi wa juu katika kusimamia mpira ndani ya Liverpool na mwenye experience na mfumo wa Slot
Anajua nini afanye akiwa na mpira na kwa wakati gani asimame eneo husika akiwa hana mpira

Kuhusu VVD Jana kafeli kila kitu interception dribbling tackling exception high ball tu ndo ka'won
JONES bishoo uwezo mdogo sn kwny defensive labda offensive

Kiujumla Slot anaforce double pivot uku akiexchanges with back three system km nd mpra wa ksasa lakini ukuta ni dhaifu mno hzi system zinahitaj strength blocking structure.
 
Ni rahisi kuona hili ukizingatia kuwa Community Shield huwa ni kati ya mshindi wa ligi kuu na mshindi wa FA Cup. Ikitokea kuwa mshindi wa ligi kuu pia alishinda FA Cup basi anashindanishwa na mshindi wa pili wa ligi. Mechi hii ni ya kirafiki zaidi na pia ni mechi moja tu ya kufa kupona, lazima bingwa apatikane, hivyo lolote laweza kutokea kama mshindi kupatikana kwa penati.

Chukua mfano wa Crystal Palace ambaye alimaliza nafasi ya 12 msimu uliopita. Unaonaje kuhusu uwezekano wake kuchukua kombe la ligi kuu msimu huu mbele ya Liverpool?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shida ya mashabiki wa Livapuli wao hua wanafikiria kila siku ni ijumaa, mmebahatisha msimu uliopita baada ya kipara msimu mzima kua bize mahakamani na kesi ya talaka ya mkewe, mnajiaminisha msimu huu pia ni wenu.
Mimi nawahakikishia mwisho wa msimu huu hio kichwa mviringo Slot Machine inatimuliwa hapo Anfield.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…