Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wamepachika kichwa cha Isak kwenye kiwiliwili cha nani tena hapa? 😀
😎😎😎😎😎Dogo anawakumbali ma jogoo hataki kwingine zaidi ya ma jogoo wa jiji.

He is coming home🔥🔥😃😃😃😃😃

YNWA
 
Sawa. Ni kwamba tu ni wazi kabisa hiyo si picha ya Isak. Inaonekana kabisa kuna mtu ameweka (photoshop) kichwa cha Isak kwenye mwili wa mtu mwingine. Checki tu hapi chini ya kidevu kwenye shingo....
Pia sijui kama Isak ameshafikisha tattoos zote hizo kwenye mkono...
 
😂😂😂😂Ogopa sana haya mamboz.
Newcastle kwenye hili wameshika karata zote upande mmoja kwa kua dogo bado ana mkataba nao lakini pia lazima waelewe kumbakisha klabuni bila ridhaa yake ni hatareee zaidi , tuna uzoefu na ishu ya Coutinho.
Binafisi nina reservation na hii dili ya Isak kwa sababu ya majeruhi ya huyu dogo lakini kama akitua nitamsapoti kwa kuvaa Uzi pendwa wa ma jogoo.

IMG-20250804-WA0011.jpg
 
Amefanya jambo njema. Hii dili ipo 50/50 inaweza kufanikiwa au la kwa kua Liverpool hawapo desperate sanaaaa hivyo dogo itabidi afosi mambo klabuni kwake🙈🙈🙈

YNWA
Sijui migomo ndiyo mpango mzima kule Sweden? Maana Gyökeres alileta gumzo na kugoma kufanya mazoezi juu ya makubaliano ya maneno tu bila maandishi na Sporting Director ambaye baadae aliondoka na kwenda City. Gyökeres akamomalia makubaliano yale na Sporting Director mpya, na of course huyu mpya akagoma. Hatimae tulimpata Gyökeres kwa bei ya chini sana ya release clause yake, ila kila mmoja alifika amechoka sana.

Tuone Isak atafikishana wapi na Newcastle.
 
Newcastle's stance has changed significantly since Friday. From a flat out rejection of the offer to suddenly accepting Isak may have to leave. Liverpool did their part with an offer last week. Isak is expected to move things along this week
 
Sijui migomo ndiyo mpango mzima kule Sweden? Maana Gyökeres alileta gumzo na kugoma kufanya mazoezi juu ya makubaliano ya maneno tu bila maandishi na Sporting Director ambaye baadae aliondoka na kwenda City. Gyökeres akamomalia makubaliano yale na Sporting Director mpya, na of course huyu mpya akagoma. Hatimae tulimpata Gyökeres kwa bei ya chini sana ya release clause yake, ila kila mmoja alifika amechoka sana.

Tuone Isak atafikishana wapi na Newcastle.
Ni sahihi kabisa kuna uhaba wa ma striker sokoni hivyo Sporting walisema alama za nyakati bahati haikua kwao maana wanaelewa kumbakisha mchezaji asietaka kubaki ni hujuma kwa klabu inayofuata ...
Isak kilichobaki ni yeye akomae na wakala wake kufosi huu usajili ufanyike.
Ila Mkuu huyu dogo akija na Salah ndio point man wetu huoni kama tutapata ishu fulani fulani design kama Mane na Salah🤣🤣🤣

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom