Anastahili kuwaza hivyo. Majority humu hawakumkubali Slot mapema. His two preseason games i said we are still safe under Slot. Jumlisha hatukufanya usajili wa maana. Hii ilifanya Vvd na Salah kupiga pause kwanza waone mwenendo kabla ya kuanguka saini.Yaani huyu dogo alimuona Slots bado sana๐๐๐katudharau sana na sana tena
View attachment 3416243
Kuyt alikuwa na chenga yake hiyo, ukimfusta paap anaitupa kule muanze riadha. Kipindi kile mambo ya Spaces na pressing zilikuwa kwa wachache. Long balls za kutosha.View attachment 3416277
Kwa wale wa sasa ebu tazameni namna Benitez na vijana wake walivyotupa raha miaka hioooo.
El nino, Kuyt etc ilikua balaaa...
Vibe la Addidas ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
YNWA
As i said it earlier conversion rate ipo chini ila kuna angle zinambeba na ndicho kimefanya LFC waende kwake mazima.View attachment 3416828
Hugo vs Isak in numbers.
Slot ana kibaraua kizito sana kwa huyu dogo aisee.
Shot conversion yupo chini sana ukitazama alipiga shoti 117 na kupata goli 15 ni kwamba haitoshi....
Kazi kwa jopo la makocha kuweka mkatati safiii ili aongeze bidii na tuone magoli
YNWA
Slot's AmbitiousNyie mnatoa wapi mshiko wa kuwanunua Wirtz, Ekitike, Frimpong na Isak?
Kumbe Fenway wana mihela kibao tu sema walikuwa hawana haja ya kuitumia mpaka waonje ubingwa?
Bayern kwenye suala la kutoa hela nyingi huwa ni kipengele, siku zote hizo bado wanapambania sajili moja tu ya Diaz๐Tetesi za Soka Ulaya: Liverpool kuvunja rekodi ya uhamisho kwa Isak?
Saa 1 iliyopita
Liverpool wako tayari kutoa ofa itakayovunja rekodi ya uhamisho Uingereza kwa mshambuliaji wa Newcastle na Sweden Alexander Isak, 25 (Mail+).
Lakini klabu ya Saudi Al-Hilal pia wanajiandaa kutoa ofa, inayodhaniwa kuwa zaidi ya pauni milioni 130, kwa Isak baada ya kuondolewa kwake kwenye kikosi cha Newcastle kilichoko kwenye ziara yao ya maandalizi ya msimu mpya huko Singapore (Talksport).
Chelsea na Manchester United hawana uwezekano wa kumsajili Isak, huku United wakiwa tayari wametumia fedha nyingi kuwasajili mshambuliaji wa Brazil Matheus Cunha, 26, na mchezaji wa kimataifa wa Cameroon Bryan Mbeumo, 25 (Mail).
Newcastle wameelekeza mawazo yao kwa mchezaji wa kimataifa wa Slovenia Benjamin Sesko huku mshambuliaji huyo wa RB Leipzig mwenye umri wa miaka 22 akiwa mbadala iwapo Isak ataondoka (ipaper).
Aston Villa wameiambia Manchester United kuwa mshambuliaji Ollie Watkins hauzwi, licha ya klabu hiyo ya Old Trafford kumtaka sana mchezaji huyo wa Kiingereza mwenye umri wa miaka 29 (Telegraph).
Leeds United waliopanda daraja msimu huu wamekubaliana na Lyon kumsajili kipa Lucas Perri kwa thamani ya pauni milioni 15.6, huku mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 akitarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kwenye kambi ya mazoezi ya Whites nchini Ujerumani (Mail).
Bayern Munich wako tayari kutoa ofa nyingine tena kwa winga wa Liverpool na Colombia Luis Diaz. Klabu hiyo ya Merseyside inafahamu nia ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kuondoka na mazungumzo yataendelea (Fabrizio Romano).
Liverpool wamempa beki wa Ufaransa Ibrahima Konate, 26, mkataba mpya ili kumzuia asiende Real Madrid, ambao wanataka kumsajili msimu huu wa joto au msimu ujao (Footmercato).
Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Douglas Luiz, 27, alishindwa kuripoti katika siku ya kwanza ya mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya Juventus Alhamisi huku West Ham, Everton na Liverpool zote zikionyesha nia kwa kiungo huyo (Gazetta dello Sport).
Winga wa Chelsea na England Raheem Sterling, 30, ameibuka kama mmoja wa walchezaji kadhaa wa washambuliaji wanaosakwa na mabingwa wa Italia Napoli (Calciomercarto).
Mshambuliaji wa Liverpool Harvey Elliott yuko tayari kuondoka klabu hiyo ya Anfield. Mchezaji huyo wa kimataifa wa vijana wa England mwenye umri wa miaka 22 anasakwa na West Ham (Metro).
Spurs wanaifanyia kazi ofa ya pauni milioni 15 kutoka LAFC kwa ajili ya nahodha wake Son Heung-min huku mchezaji huyo wa Korea Kusini mwenye umri wa miaka 33 akifikiria mustakabali wake (Sun).
Real Madrid wako tayari kumtoa kwa mkopo mshambuliaji Endrick, 19, kwenda timu nyingine ili kuboresha kiwango chake, lakini mchezaji huyo wa Brazil angependelea kupigania nafasi yake Bernabeu (ESPN).
Ni prural ya Nyanzahey Manyanza nje ya mada neno manyanza lina maana gani na ni lugha gani๐๐ถ
I stand with Slot sio muumini wa kubana mkwaja kama Klopp...yeye anajua mazima na uzuri klabu ipo mahala pazuri pia ki kanuni za usajili EPL hivyo anaweza kujiachia mazima na bado akawa compliant ๐ฅ๐ฅ๐ฅAs i said it earlier conversion rate ipo chini ila kuna angle zinambeba na ndicho kimefanya LFC waende kwake mazima.
xG yake iko vizuri maana yake positions na timing ni nzuri sana, assists & Chances created ni kipengele kinachombeba Ekitike. Kuna mazingira huwa considered na "if statement" are always applied.
Frankfurt is nowhere near in term of quality ila ameweza ku produce hizo no. What if akipata quality nyuma na pembeni yake he can improve hopefully.
Slot is a good coach kwenye kunoa talents. Lets see
Ynwa
Kuyt alikua approached kama kocha msaidizi Liverpool na Slot lakini naona haikua riziki.Kuyt alikuwa na chenga yake hiyo, ukimfusta paap anaitupa kule muanze riadha. Kipindi kile mambo ya Spaces na pressing zilikuwa kwa wachache. Long balls za kutosha.
Tulicheza ile total English Football isiyokuwa na mambo mengi ya kusumbuana.
Ynwa
๐๐๐๐๐๐Muda hua ni darasa. Tuwe na subira.Hivyo vispoku huyu Ebitoke ataiweza EPL kweli!! Mbona kama tumepgwa.
Wai mapema kwa Benjamin ndugu naona Newcastle wanamhitaji kama mbadala wa Isak.Nyie mnatoa wapi mshiko wa kuwanunua Wirtz, Ekitike, Frimpong na Isak?
Kumbe Fenway wana mihela kibao tu sema walikuwa hawana haja ya kuitumia mpaka waonje ubingwa?
Benjamin alituletea utoto na wakala wake, juu ya bei Leipzig waliyotupa. Tumuache tu aende Newcastle tumuone yukoje kule maana tumeshamchukua Gyokeres na Benjamin mwenyewe eti alikuwa anaogopa kuja kupambania namba na Havertz. Striker yeyote anayemuona Havertz kama mshindani kwenye nafasi ya Striker hafai kwa kweli.Wai mapema kwa Benjamin ndugu naona Newcastle wanamhitaji kama mbadala wa Isak.
Fentway kwa sasa wamehakiwa SI bure aisee haya manunuzi yatavuja rekodi ya EPL.
YNWA
๐๐๐๐๐๐Eti anaogopa ushindani รฉeh duuh huyo kuna tatizo aisee. Mchezaji kamilifu anataka penye ushindani wa kutosha sio hofu Wala Nini.Benjamin alituletea utoto na wakala wake, juu ya bei Leipzig waliyotupa. Tumuache tu aende Newcastle tumuone yukoje kule maana tumeshamchukua Gyokeres na Benjamin mwenyewe eti alikuwa anaogopa kuja kupambania namba na Havertz. Striker yeyote anayemuona Havertz kama mshindani kwenye nafasi ya Striker hafai kwa kweli.
Kabisa. Akitaka kuja Gunners kiulaini aende Chelsea.๐๐๐๐๐๐Eti anaogopa ushindani รฉeh duuh huyo kuna tatizo aisee. Mchezaji kamilifu anataka penye ushindani wa kutosha sio hofu Wala Nini.
Ngoja atue Magpies kama kweli chuma haswa tutamfuata huko huko
YNWA
Chelsea hua siwaelewi wanataka Nini sokoni aisee yaani Kila mchezaji kipaji wamoooo.Kabisa. Akitaka kuja Gunners kiulaini aende Chelsea.
Style yao mpya ni kunyakua kila mchezaji mzuri wanaoweza kumpata. Mambo ya kupanga kikosi yanafuata baada ya hapo.Chelsea hua siwaelewi wanataka Nini sokoni aisee yaani Kila mchezaji kipaji wamoooo.
YNWA
oooh nimekupata mkuu tunatoka kanda mojaNi prural ya Nyanza
Nyanza maana yake ni Ziwa Victoria
Kabla ya kulibadilisha jina Ziwa Victoria lilitwa Nyanza. Sasa yakiwa ya zaidi ya moja ndio inakuwa Manyanza.
Kipindi hicho watu wa Kanda ya Ziwa
Ziwa lina maana ya Nyanza mpaka sasa
Hata bahari ya hindi nayo watu wa Kanda ya Ziwa wanaiita Nyanza.