King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Players who have volunteered to support Diogo Jota's family since his death on July 3, 2025:
1. Cristiano Ronaldo – In the early days, he promised to cover health insurance for Diogo’s wife and his entire family.
2. Lamine Yamal – The young Barcelona star took on the responsibility of covering all travel expenses for Jota’s family whenever they need to travel.
3. Rúben Neves – A close friend of Jota, he pledged to fully pay for the education of Jota’s children until they graduate.
4. Mohamed Salah – He committed to paying for all housing, food, and other essential needs for the family without any limit.
5. Virgil van Dijk – The Liverpool captain vowed to ensure Jota’s children enjoy a happy childhood and live like normal kids despite the tragedy.
Hahahahahah, Unafikiri hakuna wanaowaza hilo pia? Binadamu tunafanana kwa vingi sana mkuu, wenye tamaa za hivyo pia wapo.Huku kwetu ukifariki kitu cha kwanza watu wanampigia mahesabu Mke wako uliyemuacha ni namna gani watapita naye.
Utasikia "King Ngwaba kaacha chombo cha maana".
Hapo tayari anaanza kulipiwa kodi na bili zote.
Hahahahahah, Unafikiri hakuna wanaowaza hilo pia? Binadamu tunafanana kwa vingi sana mkuu, wenye tamaa za hivyo pia wapo.
Hapana, hiyo behaviour kwakweli sina, japo miaka kadhaa nyuma kidogo nianguke kwenye hiyo dhambi baada ya kushawishiwa na mjane wa rafiki yangu na master wangu. Ila nina uhakika kuna wachezaji wanamendea na atakuja kujihusisha tena na mahusiano na mchezaji maarufu tu, subiri miaka kadhaa mbele mzee. Butua vyako mzee, ukiondoka wanaobaki hawana huruma.Mwanaliverpool Halisi umeshaanza kumpigia mahesabu mjane wa Jota?
🤓🤓🤓🤓🤓🤓Hahami livescore yule.Mzee wa Livescore
Nina Imani na Hughes akishamaliza kuweka sawa idara ya kushambulia ataweka kambi idara ya ulinzi inawezekana dirisha lajalo tukaone mishe mishe zaidi ukuta...VVD at 34yrs sio dalili nzuri huu ni umri wa kukimbizwa na vijana tuanze kutafuta mbadala wake mapema sana
Ulisoma ujumbe wa Mo Salah?Hapana, hiyo behaviour kwakweli sina, japo miaka kadhaa nyuma kidogo nianguke kwenye hiyo dhambi baada ya kushawishiwa na mjane wa rafiki yangu na master wangu. Ila nina uhakika kuna wachezaji wanamendea na atakuja kujihusisha tena na mahusiano na mchezaji maarufu tu, subiri miaka kadhaa mbele mzee. Butua vyako mzee, ukiondoka wanaobaki hawana huruma.
Ujumbe wa Salah kwenye msiba wa JotaHapana, hiyo behaviour kwakweli sina, japo miaka kadhaa nyuma kidogo nianguke kwenye hiyo dhambi baada ya kushawishiwa na mjane wa rafiki yangu na master wangu. Ila nina uhakika kuna wachezaji wanamendea na atakuja kujihusisha tena na mahusiano na mchezaji maarufu tu, subiri miaka kadhaa mbele mzee. Butua vyako mzee, ukiondoka wanaobaki hawana huruma.
View attachment 3411512
Kwa bei ya £50m plus huyu ni wa kuuzwa tu ndugu zangu maana umri wake na bei hii ki ukweli siamini lakini ndio hali ilivyo Hawa Bayern wapo motoo kumhitaji... Liverpool wachukue pesa hapa hakuna kingine.
YNWA
Ngoja watu wasahau msiba uone, EDA ikiisha tu watu wataanza kula mzigo. Character ya Salah sidhani kama atamsaliti dogo Jota, ila wapo watakaomsaliti lazimaUlisoma ujumbe wa Mo Salah?
Mawazo yake yote yapo kwa Mke wa marehemu na watoto wake. Mpaka nikawa nasema vipi Salah anataka kuongeza mke wa pili nini? 😃
Obviously ukishakuwa na mawazo kwa mke wa mtu tena mjane usisahu lazima kuna kuwaza ya kitandani pia hahahaha.Ujumbe wa Salah kwenye msiba wa Jota
Ona hayo maneno niliyo yazungushia yalikuwa na maana gani? 😂😂😂
View attachment 3411882
Salah ana ruhusa ya kuoa hata Wake wanneNgoja watu wasahau msiba uone, EDA ikiisha tu watu wataanza kula mzigo. Character ya Salah sidhani kama atamsaliti dogo Jota, ila wapo watakaomsaliti lazima
🤣🤣🤣Huku kwetu ukifariki kitu cha kwanza watu wanampigia mahesabu Mke wako uliyemuacha ni namna gani watapita naye.
Utasikia "King Ngwaba kaacha chombo cha maana".
Hapo tayari anaanza kulipiwa kodi na bili zote.
Kwa alivyoshika imani yake hawezi kuoa mkristo, labda amchape tu bakora za sirini.Salah ana ruhusa ya kuoa hata Wake wanne