Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🚨 Alex Oxlade-Chamberlain is now a free agent and Southampton are among the Championship clubs lining up an ambitious offer.

(Source: @EFLAnalysis_)
 
Huu siyo ubaguzi? Aina hii ya ushabiki ni hatari sana...Saver ni moja tu Boss.
Mashabiki wa timu zingine mna ushamba na utoto mwingi sana. Hivi kuna shabiki wa Liverpool ameshawahi kuingia Kwenye nyuzi za timu nyingine akapost habari za Liverpool?

Au kwa sababu nyuzi za timu zingine hazina visitors kama huu uzi na habari za hizo timu hazisomwi na ndio maana mnakuwa mnazipost kwenye huu uzi?
 
Mpira sio uadui.
 
Wanatujazia tu page kwa mabo yao.
 
🚨🚨🤯 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: If Isak won’t be available, 𝐋𝐢𝐯𝐞𝐫𝐩𝐨𝐨𝐥 𝐜𝐚𝐧 𝐞𝐧𝐭𝐞𝐫 𝐇𝐮𝐠𝐨 𝐄𝐤𝐢𝐭𝐢𝐤𝐞 𝐫𝐚𝐜𝐞... while Newcastle remain in talks for him. 👀
 
Ok sikua na taarifa hii; ushabiki ni furahaa...usiwe rigid kubaki na mambo ya Liverpool tu. Kwani akipost kuna sheria ipi ya nchi au za JamiiForums zimevunjwa? Wengine mnachukulia ushabiki kwa namna ya kipekee kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…