Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Sijui hataNa alipost yeye au washkaji zake? Kwakweli kama ka post yeye tena siku ya mazishi atakuwa amekengeuka kidogo. Anyway pengine ni namna yake yakujisahaulisha machungu, ama imani yake kuhusu kifo.
Yaani watu wana roho ngumu sana.Mtu mwenye akili timamu huwezi kukaa ukala Bata siku mtu wako wa karibu aliemjali baba Yako akizikwa sababu ndio siku ya mwisho kuona mwili wake
Jota alivyofunga gori alipaza sauti kipindi baba yake Diaz katekwa ndio maana nikasema mtu mwenye akili timamu huwezi kosa kwenda kwenye msiba wa rafiki kama huyoYaani watu wana roho ngumu sana.
Hata mtu usiyempenda akifariki kuna namna kama binadamu utaumia tu.
Vipi tukisikia labda ilikuwa ni party special for Jota, na kampani yake iliambatana na Diaz kukesha wakiimba na kusifu na kutaja jina la Jota?Yaani watu wana roho ngumu sana.
Hata mtu usiyempenda akifariki kuna namna kama binadamu utaumia tu.
You such a a great analystHamzidi Kelleher
Yaani Liverpool imecheza biko kumuuza Kelleher
Haupo sawa kichwaniVipi tukisikia labda ilikuwa ni party special for Jota, na kampani yake iliambatana na Diaz kukesha wakiimba na kusifu na kutaja jina la Jota?
Yaani badala ya kuwa mnyonge tu akaamua kuonesha appreciation kwa kufurahia moments zake na Jota.
Ni maoni yangu sijajilinganisha na mtu na wala sitaki kulinganishwaYou such a a great analyst
Kuliko pros
Atamiss sana hizi moment Jota😰😭
Yaani hajamzika bado na wenzie wapo kuzikaVipi tukisikia labda ilikuwa ni party special for Jota, na kampani yake iliambatana na Diaz kukesha wakiimba na kusifu na kutaja jina la Jota?
Yaani badala ya kuwa mnyonge tu akaamua kuonesha appreciation kwa kufurahia moments zake na Jota.
Hata asingepaza sautiJota alivyofunga gori alipaza sauti kipindi baba yake Diaz katekwa ndio maana nikasema mtu mwenye akili timamu huwezi kosa kwenda kwenye msiba wa rafiki kama huyo
Umejaa mavi ya nani sasa? yako au ya mama yako?Ubongo wako umejaa mavi ndio maana hapa umeandika mavi matupu
Hujanielewa namaanisha kuwa mnamlaumu as if ilikua ni lazima yeye awepo,kutokwenda kwake kwnye huo msiba ni dhambi, ile ya kumtafuta baba yake ilikua ni ubinadamu tu kama mchezaji mwenzie pengine hawakua hata na huo ukaribu.Aisee
Mkuu nikikuwa nakuheshinu sana kumbe una akili za kishetani hivi?
Mawazo haya ni ya kishetani sana
Kwahiyo hao walioenda , walienda ili Jota afufuke?
AbsurdHujanielewa namaanisha kuwa mnamlaumu as if ilikua ni lazima yeye awepo,kutokwenda kwake kwnye huo msiba ni dhambi, ile ya kumtafuta baba yake ilikua ni ubinadamu tu kama mchezaji mwenzie pengine hawakua hata na huo ukaribu.
Halafu pia tunatofautiana pia kimtazamo. Pengine alikua anahitajika sehemu mbili kw wakati mmja akaopt kwenda kw hiyo party ambae ndio mtu wake wa karibu zaid.Sio dhambi.
Tunafanya kazi maofisini huko mfanyakaz anafariki wengine hata hawafiki ila sisi tuliokwepo tunawakilisha fresh na wala hatushikilii bango mbona flani hajahudhuria, kaenda kwenye shuhuli ya mdogo wake wa damu anaolewa. Hata kama ameenda kwnye party hiyo ndio ilikua y muhimu kwake then siku nyingine ataenda kwnye kaburi. Ndio maisha yalivyo kila mtu kuna namna anayaendesha maisha yake na katu hatuwezi fanana.
Sell all they want to go
Duh!Umejaa mavi ya nani sasa? yako au ya mama yako?
Diaz most likely this window....Sell all they want to go
Kabisa ndugu dogo ni zaidi ya mchezaji no wonder wanaohudhuria mechi Anfiled hua wanasimama nae iwe mvua iwe jua wapo nao mbega kwa mbega.Saint Anne huyu hapa Mwamba Núñez 😂 ndio alikuwa mchezaji wa kwanza wa Liverpool kufika Ureno. Captain Marvelous huwa unamwambia Miss Liverpool kuwa Núñez ni more than a Player 🤣
In just 72 hours, Darwin Núñez showed what it means to be a man - and a brother. ..
He first said his final goodbye to his grandfather in Uruguay. Without even a day to rest his soul, the very next day he travelled with his partner to Portugal — to pay tribute to Diogo Jota and his brother André Silva.
He was the first current Liverpool player to arrive.
In the midst of his own grief, he chose to stand by his teammate’s family.
No cameras. No words. Just a quiet presence and a sincere heavy heart.
Because this wasn’t a football duty.
This was an act of love, respect, and brotherhood.
😃😃😃😃😃😃Walahi wewe ungemtia mkasiAmekosa fundi wa kumsuka?
Ningemsuka Mimi hata bure😂
Barabarani napo kuna raha zake! Hebu fikria hiyo tour ya kutoka Kaskazini mpaka kusini halafu ukavuke na kivuko kwenda nchi nyingine! Lilikuwa bonge la tour, sema sasa vijana wetu wanavyokanyaga mafuta, safari ya saa 8 anataka aifanye iwe ya saa 5! RIP Jota! Dogo nilikuwa nampenda sana!Bora angepanda tu ndege jota wetu jamank. What a loss 🙌🏿💔💔