Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Díaz anafanya vitimbi anataka kuondoka na tayari ameshaanza mazungumzo na Bayern Munich na wameshakubaliana bado Kuja kukaa mezani na Hughes na Michael Edwards.

Kutohudhuria mazishi ya Jota hii ilikuwa ni makusudi tu hata Mashabiki wa Liverpool sijui watamuonaje?
 
Kuondoka kwenye club ndio asiende msibani!?
Yaani sikujua jamaa ana akili za ajabu hivi
 
Guehi anakuja
 
Watoto wa Ki Brazil, Colombia akili zao chafu sana
Acheni chuki, kisa anataka kuwakimbia. Acheni hizo, kwani ni yeye peke yake tu ndio hajahudhuria. Hao wa kina ronaldo tena ndio ndugu kabisa nchi moja nackia hawajahudhuria. au wao walikua na dharura wengine hawaruhusiwi kua na dharura.
 
Hii timu nayo viongozi waache ushamba waweke full nembo sio Kila mwaka kindege tu kwenye jezi hata akipendezi kimekaa kishamba sana unakuta jezi nzuri nembo imekaa kishamba sijui hawalioni hili
 
Diaz kutohudhuria msiba wa Jota haina uhusiano wowote na kutokuwa na machungu, na hata asipokuwa na machungu na mambo yanayohusiana na vifo hatuwezi kumtwisha mzigo wa ubaya kwa maamuzi na imani yake. Nadhani waliotuambukiza baadhi yetu sisi waafrika kuhusu tabia ya nama yaku behave mmoja wetu akifariki ndo waliosababisha tuwaone wengine kama wakosaji wanapo behave tofauti. But in reality VIFO vipo na once unapojua na wewe utakufa huwezi kuogopa sana kifo wala kusikitika kwa muda mrefu sana. Tusijenge chuki kwa Diaz. Kila mmoja na destiny na fate yake.

YNWA
 
Chuki Kwa diaz kuhusu jota ni Kwa mashabiki wenye timu Yao wa anfield ndio walizozianzisha wala sio wewe mtu mweusi wao ndio wamefanya wengine wakajua kwamba jamaa hakuwepo msibani na siku hiyo alikua anakula Bata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…