Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee kama ndio hivi hao wazazi wao wanahitaji uangalizi wa karibu sana, hasa mama yao tusijekuskia habari mbaya nyingine inayowahusu.

Daah.. Mungu awatie nguvu na kuwaponya hayo maumivu makali kwa haraka.
 
Pole sana Rafiki, nina mwezi mmoja rafiki yangu, jirani yangu na shabiki mkubwa wa Man Utd aliondoka maumivu yake usipime, Kuondoka kwa Jota kumenitonesha kidonda tena dah
Aisee pole nyingi zikufikie wewe na wafiwa, kwa kumpoteza rafiki yako kipenzi.

Kifo ni cha kuskia tu kwa watu, ila yakikikuta hasa kwa mtu wako wa karibu unaweza kutamani ufe na wewe umfuate aliko, unahisi kama vile maisha hayana maana tena sababu ya maumivu makali sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…