Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mbadala alikua somebody barry wa aston villa (alikua swahiba wa SG), sijui tom&hicks wakafanyeje dili ikagoma akaenda city!
ndipo tukaishia kwa Aquilan (ambae hakua mpango wa rafa)

sema rafa amefundisha liver kipindi kigumu sana, ila alitengeneza timu nzuri sana!
Gareth Barry alikuwa bonge la mido, tukashindwa kumchukua akaenda City, Mzee Rafa alikuwa na kipindi kigumu sana kupata wachezaji aliokuwa anawataka
 
1000049264.jpg

Boy never got tired 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾

Loading Assistant to Slot after Heitinga left for Ajax..

Bring him to conquer together he has Liverpool DNA.

YNWA
 
1000049261.jpg

Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyu FMG anacheza RB na RW hivyo ni kama Slot anaanza kujipanga Salah akisepa AFCON dogo atasimama upande ule ina maana upo uwezekano Slot akiwatumia kwa pamoja na dogo Bradley 🔥🔥🔥🔥tunahutaji CS wa nguvu sana.

YNWA
 

Ubingwa mtamu sana yaaani EPL baba lao🔥🔥🔥🔥tazama dogo apa ana vibe kama zote.

YNWA
 
Just for fun
Kumbe atmosphere ya Anfield inatisha kupita kiasi nilichokuwa nafikiria.
Tazama Arteta mazoezini mechi kabla Ya liverpool anaplay song la u will never walk alone kwenye viwanja vya mazoezi ili wachezaji wajiweke sawa kiakili.
 

Attachments

  • VID_20250601_072105_467.mp4
    22.5 MB
Wafia timu wa Liverpool wa hivi karibuni ni Gerrard, Agger, VVD hao ni Liverpool tu hakuna kingine....
Japo kwa Agger alitia huruma sana maana Manchester City walileta ofa ya $40m dogo akasema bado ana mission Liverpool akagoma kuodoka aafu mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni basi bhana muda wa kuongeza ulivyofika FSG wakala Kona hivi hivi yaaani ikabidi Agger arejee maskani kwake kukipiga...

Msione Salah anakua na vijembe ikifika muda wa kuongeza mkataba ni kwamba anacheki na historia ya waajili wake kashawasoma.

YNWA
umemsahau caragger
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom