Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Suarez aliwahi kuomba kwenda Arsenal
Wafia timu wa Liverpool wa hivi karibuni ni Gerrard, Agger, VVD hao ni Liverpool tu hakuna kingine....
Japo kwa Agger alitia huruma sana maana Manchester City walileta ofa ya $40m dogo akasema bado ana mission Liverpool akagoma kuodoka aafu mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni basi bhana muda wa kuongeza ulivyofika FSG wakala Kona hivi hivi yaaani ikabidi Agger arejee maskani kwake kukipiga...

Msione Salah anakua na vijembe ikifika muda wa kuongeza mkataba ni kwamba anacheki na historia ya waajili wake kashawasoma.

YNWA
 
Yaah alisema yeye tuu kuupata mkataba mpya ni bahati kulingana na sera ya klabu
 
View attachment 3351193
The Netherlands international put pen to paper on a long-term contract with the Reds at the AXA Training Centre on Friday after successfully passing a medical.

Speaking to Liverpoolfc.com for the first time, Frimpong said: “It went quite easy. Liverpool came and said they had interest, and obviously for me it was a no-brainer.

“For me, it was like, ‘Whatever you guys do, just get this done’, [speaking to] my agents: ‘Just get this done.’

“Liverpool fans, I’m going to give my all, my energy, my work-rate and hopefully we can win together, we celebrate together, get everything together.

“I’m just excited to be here. Thank you guys for accepting me and I won’t let you guys down and I’ll give you the energy that you guys want.”
Huyu dogo na Rahim Sterling wanatofauti Gani?
 
Mkuu Msela Wa Kitaa kumbe ulikua upande wa Highbury 🤣🤣🤣🤣 aaaa interesting sanaa na big up kwa maamuzi sahihi.

Hio partnership ilikua next level 🔥🔥🔥..... Sijui Benitez alikua na makengeza kumwambia Alonso asake timu huku akiwa hajapata mbadala wake hakika pale ndio tulipoteana mazimaa na Benitez kazi kwake ikawa ngumu

YNWA
Wamiliki walimuangusha mzee Rafa, replacement ya Alonso eti akaletwa Aquillani😥😥
 
Wafia timu wa Liverpool wa hivi karibuni ni Gerrard, Agger, VVD hao ni Liverpool tu hakuna kingine....
Japo kwa Agger alitia huruma sana maana Manchester City walileta ofa ya $40m dogo akasema bado ana mission Liverpool akagoma kuodoka aafu mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni basi bhana muda wa kuongeza ulivyofika FSG wakala Kona hivi hivi yaaani ikabidi Agger arejee maskani kwake kukipiga...

Msione Salah anakua na vijembe ikifika muda wa kuongeza mkataba ni kwamba anacheki na historia ya waajili wake kashawasoma.

YNWA
Tangu niishabikie hii timu, hii ni mara ya kwanza naona sokoni wamechangamka
 
Mkuu Msela Wa Kitaa kumbe ulikua upande wa Highbury aaaa interesting sanaa na big up kwa maamuzi sahihi.

Hio partnership ilikua next level ..... Sijui Benitez alikua na makengeza kumwambia Alonso asake timu huku akiwa hajapata mbadala wake hakika pale ndio tulipoteana mazimaa na Benitez kazi kwake ikawa ngumu

YNWA
mbadala alikua somebody barry wa aston villa (alikua swahiba wa SG), sijui tom&hicks wakafanyeje dili ikagoma akaenda city!
ndipo tukaishia kwa Aquilan (ambae hakua mpango wa rafa)

sema rafa amefundisha liver kipindi kigumu sana, ila alitengeneza timu nzuri sana!
 
Huu usajili wa Aquilani ni utapeli wa Karne...
Dogo Kule Italy alikua wodini muda wote aafu unamleta kwa bwebwe eti next Alonso yaaani hakika tumepita wakati ngumu sana

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom