Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Wakongwe ni muhimuFSG waansubiri kupokea ofa tu 🤣🤣
YNWA
Abaki
Wakongwe ni muhimuFSG waansubiri kupokea ofa tu 🤣🤣
YNWA
Bye bye Trent na hivi karibuni bye bye Kelleher.Wakongwe ni muhimu
Abaki
Nishakuchagulia bwana mdogo mkata umeme wetu hidari sana Grave hivyo uwe na utulivu.Haondoki
Akiondoka basi sijui ntaenda kwa nani
Captain Fantastic one man show one man mission never like him, boy played with broken toes, boy played through pain injection just for the love of the badge... No amount of cash could sway him away from Liverpool.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Babe wa utotoni
Kipindi bado natoka kamasi puani namuona Gerrard
Sio wote Mkuu tazama VVD/ Allison mbona wote ghali sana lakini wamekua na viwango vya juu sana.huyu wirtz kwa over 90m napata wasiwasi kweli,
wachezaji wa bei kubwa huwa na pressure, matokeo yake anakua failure!
Alonso, Mascherano na Stevie GView attachment 3351160
Ni yeye tu Wakati wote...
Wangapi humu wameipenda Liverpool kwa kuvutiwa na huyu Kapteni Fantastic 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Kumbe ulihama arsenalAlonso, Mascherano na Stevie G
Chief hii 👆👆 ni partinership iliyonitoa Arsenal ya o2 na kunileta Anfield Carlsberg
Huyo Mr Philanthropist ni mara chache sana kuona anacheka, muda mwingi yeye hukaa kikauzu😂😂
Naam nilihama Arsenal ya kiume 2006Kumbe ulihama arsenal
😂😂Duh, Genz wanakuambia umri ni namba tuWewe Gerrard babako acha kumuita babe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
YNWA
Hivi huyu Miss Liverpool ni genz kumbe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Duh, Genz wanakuambia umri ni namba tu
Best stopper one on one....je tuchukue ofa za waarabu asepe ama 🤣🤣🤣🤣Huyo Mr Philanthropist ni mara chache sana kuona anacheka, muda mwingi yeye hukaa kikauzu😂😂
Mkuu Msela Wa Kitaa kumbe ulikua upande wa Highbury 🤣🤣🤣🤣 aaaa interesting sanaa na big up kwa maamuzi sahihi.Alonso, Mascherano na Stevie G
Chief hii 👆👆 ni partinership iliyonitoa Arsenal ya o2 na kunileta Anfield Carlsberg
Ulikuwa mtoto wa miaka mingapi wakati huo?Alonso, Mascherano na Stevie G
Chief hii 👆👆 ni partinership iliyonitoa Arsenal ya o2 na kunileta Anfield Carlsberg
Toka ujue kiswahili basi unaninyanyasa nacho😂Hivi huyu Miss Liverpool ni genz kumbe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
YNWA
Ilitaka nishangaeCaptain Fantastic one man show one man mission never like him, boy played with broken toes, boy played through pain injection just for the love of the badge... No amount of cash could sway him away from Liverpool.
No wonder he is always voted the best player in Liverpool history...
YNWA
Ntahamia kwa SalahNishakuchagulia bwana mdogo mkata umeme wetu hidari sana Grave hivyo uwe na utulivu.
YNWA
Kelleher wangu😭Bye bye Trent na hivi karibuni bye bye Kelleher.
Muhimu klabu ipate pesa kuwekeza kwingine.
YNWA