Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Hakuna kukapaWampe tu hiyo release wala sio ishu.Kumnyima release ili asishiriki sijui hiyo Club World Cup ni kuendelea kumpa umuhimu.
Na kasivyokuwa kagumu kuliaKatafulia mpaka kajambe cheche! Kakirudi England kanaishia kusajiliwa na Everton!
Wanaliva pia mmekuwa wapiga ramli 😂😂😂😂Wale ndugu zetu man city tim pendwa ya dada yangu na mdogo wangu naona msimu ujao watakuwa na hali mbaya kama msimu huu
Ubaya ubwelaWanaliva pia mmekuwa wapiga ramli 😂😂😂😂
Kumbe mnaelewa kabisa kwamba city ikiwa kwenye form EPL mtaisikia kwenye bomba.Ubaya ubwela
Kinachoongelewa ni ukweli
Form ipi timu ishajifiaKumbe mnaelewa kabisa kwamba city ikiwa kwenye form EPL mtaisikia kwenye bomba.
Kwahiyo mnapiga ramli iendelee kuwa mbovu ili mchukue tena kwa point gap 10+ 😂😂
Halafu mje mpige kelele mmechukua sababu ya ubora wa liverpool.
Diaz na Jones waondoke?Kwa maoni yangu naona tumechukua ubingwa msimu huu sio kwa ubora wetu bali kwa kuyumba kwa timu zingine hasa City.Points 90 tu zimetushinda kuzifikia!
Kuhusu Trent sisikitiki kwa kuwa anaondoka ila nasikitika namna anavyoondoka.Sikutarajia mtoto wetu wenyewe atusaliti over money.Though msimu huu game yake haikuwa on point nisingejali kuondoka kwake kama angeondoka huku akiiheshimu club.
Still tunahitaji sajili za maana kwenye beki wa kati,kulia na kushoto.Tunahitaji namba 6.Tunahitaji LW na striker namba 9...
Nunez
Jones
Diaz
Robertson
Gomes
Chiesa nk
Wanaweza tu kuondoka
Bibie achana naoTimu inachukua ubingwa kwa mpishano zaidi ya points 10 mbele
Halafu unasema imechukua si kwamba ni Bora?
Mkuu,hata timu nyingine zilichukua ubingwa kwa kuyumba kwa timu zetu
Na ndio ubora wenyewe huo.
Kitaa hizo zote zinaweza kutoa tafasiri zaidi ya kumiNaomba niwe mwalimu wako Unataka kufahamu kuhusu nini?
1. Pressing
2. Double pivot
3. High line pressing???
Diaz na Jones waondoke?
Wewe uliyekuwa unaona Hendo ni bonge la player hunishangazi kuwaona hao jamaa ni quality ya LiverpoolDiaz na Jones waondoke?
😂
mbona simuoni Mac Allister?
Nipo hapa Ushirika nakula Kababu na ndizi choma😂😂Bibie achana nao
anaye chukua ubingwa ndiyo BORA zaidi
Hata akichukua kwa points 50 huyo ndiyo bora
Dada Anne tukutane wapi kushangilia ushindi wetu?
Mwamba mwamba mwamba ni Salah