Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Nyuma kombe lipo wapi la maana?Kwani wapi nimesema liva kachukua sababu wengine wabovu?
Mimi nimekuja kukanusha mlipochomekea kuwa hata man city kachukua sababu wengine wabovu, wewe ndiye huelewi nilichoandika.
Nyie komaeni na ma HB sisi tunaleta vyuma vya kazi.
KumbeWanafanya recovering maana kuna kuchezewa rafu, kukanyagwa, michubuko mpira sio lelemama
Balaa na nusu asikwambie mtu π€£π€£π€£Kumbe
Ila barafu ni balaa aiisee
Kwahiyo hizo barafu zinakaza misuli?Balaa na nusu asikwambie mtu π€£π€£π€£
Huyu anayekufundisha kiswahili mwaka huu mshikilie sana maana umekuja na tumisemoππππManyanza πππππ x wa Trent hana muda wa upweke ni kata mti panda mti chap aisee......
YNWA
chizi hili team bora ni ile iliyochukuwa ubingwa babuu. ukija na porojo kama hizo basi team bora ni Chelsea ambao wana new players kama wote na coach mpya nobody saw them wakiwa hata nafasi ya 8Pamoja na Liverpool kuchukua ubingwa, kwangu timu bora ya msimu ni Man City kutokana na changamoto walizopitia na wameweza kubakia imara mwishoni mwa msimu.
Kwa maoni yangu naona tumechukua ubingwa msimu huu sio kwa ubora wetu bali kwa kuyumba kwa timu zingine hasa City.Points 90 tu zimetushinda kuzifikia!
Kuhusu Trent sisikitiki kwa kuwa anaondoka ila nasikitika namna anavyoondoka.Sikutarajia mtoto wetu wenyewe atusaliti over money.Though msimu huu game yake haikuwa on point nisingejali kuondoka kwake kama angeondoka huku akiiheshimu club.
Still tunahitaji sajili za maana kwenye beki wa kati,kulia na kushoto.Tunahitaji namba 6.Tunahitaji LW na striker namba 9...
Nunez
Jones
Diaz
Robertson
Gomes
Chiesa nk
Wanaweza tu kuondoka
Kitambo sana malafyaleMabingwa wenzangu mpoooo?
Mbarikiwe sana sana sana
Bora kile kirusi cha upande wa kulia kimeondokaBREAKING π¨ Jeremie Frimpong has already said YES to Liverpoolβs project as per @FabrizioRomano #LFC
Klopp Style bado ipo vichwani mwetu, mwambieni kipara aongeze kasi kidogo hatujazoea mambo ya slowTimu imeshinda kwa points zaidi ya kumi mbele mnasema hamuelewi?πππππππ
Mnataka nini ?
ππππWewe hapo nakushikilia Wala siachiiiii ng'oππππHuyu anayekufundisha kiswahili mwaka huu mshikilie sana maana umekuja na tumisemoππππ
ππππ Kaptein kama Kaptein shikilia usiachie kabisaaa, maana Trent kaachwa ujue π€£π€£π€£ππππWewe hapo nakushikilia Wala siachiiiii ng'oππππ
YNWA
Mwalimu achezeshe watoto kadiri anavyowezaKlopp Style bado ipo vichwani mwetu, mwambieni kipara aongeze kasi kidogo hatujazoea mambo ya slow
Wewe ni wa kuja na misemo ya ndanindani uswahilini kweli!? sasa hivi unaandika kiswahili full bila kuchanganya maneno πππππππWewe hapo nakushikilia Wala siachiiiii ng'oππππ
YNWA
Ana mwalimu wake huyo , siyo Mimi π€£πππππ Kaptein kama Kaptein shikilia usiachie kabisaaa, maana Trent kaachwa ujue π€£π€£π€£
Toka umejua kiswahili tunajuta sasaπΉπΉπππππBabe wake mtu na wasi wasi nae anahamia Real aisee maana mpaka sasa hajaamini kama Trent anaodoka...
Ngoja tusubiri sajili mpya tumchangulie rebound babe mwingine aache kutesekaπππ
YNWA
Naomba niwe mwalimu wako Unataka kufahamu kuhusu nini?Ana mwalimu wake huyo , siyo Mimi π€£π
Mimi mwalimu wangu Mona, nimemshikilia anifundishe uchambuzi.. mambo ya pressing sijui double pivot mara sijui gengeni.
Mona kazi imekushinda, ona nishapata Mwalimu πππNaomba niwe mwalimu wako Unataka kufahamu kuhusu nini?
1. Pressing
2. Double pivot
3. High line pressing???