Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Anauzwa huyooooJamani muda wa kuwa siriazi
Mimi ni shabiki wa Cody damudamu
Babe wangu wa msimu huu.
Mungu amuweke Cody master mashuti
Halafu anampenda Yesu mno ♥️
Na Familia yake full burudani yule mtoto🔥🔥🔥
Hayo yupo miamba wa miamba Salah our King.
Nyuma Captain kisiki Tall cyborg VVD 🔥
Wash
YNWA
Huyu siyo aduiHow on earth did you turn this hostile??
Hata akiuzwa club itapata hela ila siyo kama Trent anaondoka kama Bure kama nyanya ya nyongeza sokoni.Anauzwa huyoooo
Wanafanya recovering maana kuna kuchezewa rafu, kukanyagwa, michubuko mpira sio lelemamaMimi Nina swali
Anayejua naomba anijibu..
Hivi kwanini wachezaji huwa wanawaweka kwenye maji ya barafu huko mazoezini?
Akiyanani mpira una mateso mazito.
😂😂😂😂😂Babe wake mtu na wasi wasi nae anahamia Real aisee maana mpaka sasa hajaamini kama Trent anaodoka...
Manyanza 😂😂😂😂😂 x wa Trent hana muda wa upweke ni kata mti panda mti chap aisee......Jamani muda wa kuwa siriazi
Mimi ni shabiki wa Cody damudamu
Babe wangu wa msimu huu.
Mungu amuweke Cody master mashuti
Halafu anampenda Yesu mno ♥️
Na Familia yake full burudani yule mtoto🔥🔥🔥
Hayo yupo miamba wa miamba Salah our King.
Nyuma Captain kisiki Tall cyborg VVD 🔥
Wash
YNWA
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Amen.Mabingwa wenzangu mpoooo?
Mbarikiwe sana sana sana
Timu inachukua ubingwa kwa mpishano zaidi ya points 10 mbeleKwa maoni yangu naona tumechukua ubingwa msimu huu sio kwa ubora wetu bali kwa kuyumba kwa timu zingine hasa City.Points 90 tu zimetushinda kuzifikia!
Kuhusu Trent sisikitiki kwa kuwa anaondoka ila nasikitika namna anavyoondoka.Sikutarajia mtoto wetu wenyewe atusaliti over money.Though msimu huu game yake haikuwa on point nisingejali kuondoka kwake kama angeondoka huku akiiheshimu club.
Still tunahitaji sajili za maana kwenye beki wa kati,kulia na kushoto.Tunahitaji namba 6.Tunahitaji LW na striker namba 9...
Nunez
Jones
Diaz
Robertson
Gomes
Chiesa nk
Wanaweza tu kuondoka
Mimi toka VVD atuletee huyu mtoto mbona nilihamia kwake mazima 😂😂🔥🔥
We hujui mpira utachukuaje ubingwa wote mkifanana uwezo lazima mmoja azidi hata man city alichukua ubingwa timu nyingine zikiwa mbovuKwa maoni yangu naona tumechukua ubingwa msimu huu sio kwa ubora wetu bali kwa kuyumba kwa timu zingine hasa City.Points 90 tu zimetushinda kuzifikia!
Kuhusu Trent sisikitiki kwa kuwa anaondoka ila nasikitika namna anavyoondoka.Sikutarajia mtoto wetu wenyewe atusaliti over money.Though msimu huu game yake haikuwa on point nisingejali kuondoka kwake kama angeondoka huku akiiheshimu club.
Still tunahitaji sajili za maana kwenye beki wa kati,kulia na kushoto.Tunahitaji namba 6.Tunahitaji LW na striker namba 9...
Nunez
Jones
Diaz
Robertson
Gomes
Chiesa nk
Wanaweza tu kuondoka
😂😂🔥🔥🔥🔥Agent VVD noma sanaaaMimi toka VVD atuletee huyu mtoto mbona nilihamia kwake mazima 😂😂🔥🔥
Hehehehehe hebu twende taratibu bibie.Timu inachukua ubingwa kwa mpishano zaidi ya points 10 mbele
Halafu unasema imechukua si kwamba ni Bora?
Mkuu,hata timu nyingine zilichukua ubingwa kwa kuyumba kwa timu zetu
Na ndio ubora wenyewe huo.
Liverpool ya klopp iliyohemeshwa na city mara 2 nayo ilikua mbovu?We hujui mpira utachukuaje ubingwa wote mkifanana uwezo lazima mmoja azidi hata man city alichukua ubingwa timu nyingine zikiwa mbovu
Jibu swali msimu huu vipi hamjaweka rekodi unanitajia klopp ambaye hayupo kwenye ligi husika hivi upo timamu kichwani au kama kawaida yenu wakimbizi fc kurukwa na akiliLiverpool ya klopp iliyohemeshwa na city mara 2 nayo ilikua mbovu?
Mashabiki wa hii timu mbona mnataka kuwa vituko 😂😂😂
Umeelewa nilichoongea?Hehehehehe hebu twende taratibu bibie.
2021/22
City imechukua ubingwa mbele ya loserfool iliyofika final kwenye mashindano yote ya knockout (ikashinda final 2)
Hii ni liverpool iliyomaliza na point 92, je hii ilikua timu mbovu?
2018/19
City inachukua ubingwa mbele ya liverpool iliyoweka rekodi ya runner up mwenye point nyingi zaidi kwenye historia ya soka la uingereza pointi 97 can you imagine that? 97 points!!!
Tukiiweka vizuri zaidi, kabla ya point 100 za city, chelsea ilikua inashikilia rekodi ya bingwa aliyemaliza na point nyingi zaidi, point 95.
Sasa liverpool akamaliza na 97.
Pia timu hiihii ikachukua ubingwa wa ulaya msimu huohuo.
Sasa je,hiyo ilikua ni timu mbovu?
Loserfools mnachekesha sana.