Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mnajua kujifariji sana au ukumbuki mechi ya Kwanza si mliomba game iishe na mlikuwa full mkoko na refa pia akawa mchezaji wenu wa 12 haya yote umesahau nyinyi ubavu wa kushinda ni mdogo hasa tukiwa na hawa watu uwanjani Lavia, Caicedo na Enzo Fernandez
 
Umeelewa lengo la kuandika hiyo post lakini?
 
Aende tu
 
Huyu wamuache aende zake.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-05-05-13-59-43-414_com.facebook.katana-edit.jpg
    513.1 KB · Views: 13
All the best kwake...
He came through the academy ranks he conquered...
He left to win the ballon'd in Madrid....

Kazi kwake.. mvuto wa galatico plus agent Bellingham....

YNWA
 
Tuna testi mitambo ndugu yaani kucheki kikosi B na nani wakubaki klabuni dirisha lijalo...
Uwe na utulivu la 20 lipo limetua tunawacheki squad players wanaofaa kubaki.

YNWA
Ukisema ni kikosi B unakosea Salah, VVD,Gapko, jota, Alison Becker? Sema Kuna baadhi ya area mmewapa wachezaji ambao hawapati muda mwingi wa kucheza
 
Ukisema ni kikosi B unakosea Salah, VVD,Gapko, jota, Alison Becker? Sema Kuna baadhi ya area mmewapa wachezaji ambao hawapati muda mwingi wa kucheza
Definitely sio kikosi B kama B mbali ni angalau mwalimu anaanza kuchora mstari nani abaki June 2025 nani aodoke aisee...
Jones, Quansah, Endo , Nunez nk nk washaonekana ni squad players Hawa.

YNWA
 
Hivi Mashabiki wa Arsenal wamepagawa na nini ?

Liverpool tumechukua kwa ubora wetu,ukiangalia ktk ligi ya Bundesliga,La Liga,Seria A Liverpool imekusanya point nyingi kuliko timu yoyote ile,pia ni Miongoni mwa timu iliyofunga magoli mengi na kufungwa machache,Kwa hyo kwa point alizokusanya Liverpool ukimpeleka Seria A,La Liga na Bundesliga Liverpool anakuwa bingwa mbele ya Barca,Madrid,Bayern na Inter hivyo kama sababu Ya Liverpool kuwa bingwa Epl ni ubovu wa Arsenal basi hata hizo timu zingne nazo mbovu.
 
Ni muhimu ma dogo wafuate ndoto zao zilipo aisee iwe ni mvuto wa Galatico au mkwaja mzito in wages au chochote kile ni wakati wao kwa umri walionao wamechagua vyema kama alivyosema Trent anafuata ndoto zake hukoooo Real Madrid

YNWA
We wish him the best, ila avumilie tuu abuse kutoka kwa mashabiki wa madrid maana hawana uvumilivu
 
written on 28/3/2025.


It was already don since summer 2021. Best of luck to him.
 
Congratulations kops wherever you are. We are now waiting for top scorer from LFC jersey, best player best assister.

Binafsi nilimaaliza ligi zilipofika 13 points gap ilikua end of March probably if im not mistaken na nikasema nasuburi summer transfer kwa shauku zote.

Why?

Second half of the season imeweka bayana why we will need atleast five new quality fresh legs. Fatigue caught us, poor Slot's decisions, players decisions.

We need CB, LCB, RB, DM, ST, achilia LW & RW, ambapo kuna haja ya kumpata understudy wa Salah, Elliot & Chiesa are not Slot's favorite regardless of their quality, Endo same thing plus age.

Potential sign out players
Tsimi
Nunez
Jota
Kelleher
Endo
Chiesa
Means we need to replace them

Konate mkataba upo ukingoni proposal ya kwanza alipiga chini (watu wa kudunduliza FSG ), Gravern, Diaz & Macca's agents kila mmoja kwa nyakati tofauti wameongelea kuondoka wateja wao klabuni japo respond zilikua tofauti baada ya taarifa kuzagaa (hawafanyi kwa bahati mbaya) lengo ni kutaka nyongeza ya mishahara na mkataba mnono.

Coming season ndipo Slot anaanza kutengeneza his own kingdom, i can say Klopp"s era come to an end this season. Manyanza ulishauri akichambuliwa Slot asitajwe Klopp, hii debate imeshakufa rasmi huo mlinganisho ulitokana na hawajapishana na his predecessor. Coming season itakua "Slot vs Slot". He has alot ro to do coming season won't be easy to recruit his own player with less power he has on market transfer. We should go for a DM,LB & RB as early as possible

Dumfries from inter
Huijsen from b'mouth
Kerkez from b'mouth
Baston from inter again
Zubimendi from Sociedad
Bruno Guimaraes (wanamtaka Quansah awe part of the deal but FC hawataki).
Ederson from Atalanta.

They are top players wenye kwenda na philosophy ya Slot na timu.

Slot started very well in term of tactics decisions (performance base), second half since imekua ni ugonjwa tukaanza kuugua tena, solution ya huu ugonjwa ni big squad with quality Charlse Hillary anakuambia anatoka mtu anaingia mtu bwana.

Interesting summer ahead, and this interesting summer ahead stimulated by FSG still our owners.

Ynwa
 
Katoto Saint Anne how are you??

Babe wako Trent amekuaga anatimkia kwa uwachukiao??

You were missed indeed, ila jiandae msimu ujao kuushikilia moyo kama summer kutajaa siasa badala ya uhalisia.

Ynwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…