Loh! πππNadhani anakukumbusha tu kuwa kwa kuwa wewe ulikuwa Arsenal kabla hujahamia City, anakurudisha tu kwenye timu yako halisi.
Sikuoni ukimpost mdogo wako pendwa kipenzi cha wengiView attachment 3318986
One season wonder boy so they called himπ€£π€£π€£π€£π€£π€£....
He who wins get the last laugh π π π π π π π π π π π π π π
YNWA
Watoto wa elfu 2 na kumiLoh! πππ
Sasa mimi na u yanki huu ningeanzaje kushabikia arsenal kaka mkubwa?
Nmekuja duniani nakuta timu inaburuzwa ningeanzaje kushabikia timu nuksi kama hiyo?
Saint Anne ππππππ........ Ubingwa upo Anfiled uwe na utulivu sasa.Sikuoni ukimpost mdogo wako pendwa kipenzi cha wengi
Srtrika la Dunia
darwin Nunez
ππMtatafiti mpaka ball boys na kutafuta records. Sasa hivi tu tutaona post inasema 'first Somalian ball boy to shake hands with Mo Salah after Liverpool win their 20th league title...' na mambo mengine kama hayo...
Lazima wajipambe wajikuze mpaka wajidanganye na wadanganye umma. πππππ
Captain Marvelous ananiambia Van Dijk kawa Captain wa kwanza asiye mwingereza kuchukua taji la EPL wakati A Belgian defender, Vincent kompany alifanya hivyo way back in 2012.
Wewe Cap, kwanini unatulisha matangopori ππ
Rudi timu we mkimbizi huko kumeshadodaππ
Captain Marvelous ananiambia Van Dijk kawa Captain wa kwanza asiye mwingereza kuchukua taji la EPL wakati A Belgian defender, Vincent kompany alifanya hivyo way back in 2012.
Wewe Cap, kwanini unatulisha matangopori ππ
Jaribu kupata hata UEFA Moja kama aston villaLazima wajipambe wajikuze mpaka wajidanganye na wadanganye umma. πππ
Ukishaijua hiyo timu niliyokua nashabikia kabla ya City ndio uje uniambie nirudi, au unamaanisha soka la chandimu la simba na yanga ππRudi timu we mkimbizi huko kumeshadoda
Mkimbizi unahaha baada ya kugundua timu uliyokimbilia inahemea mipira hata nafasi ya ushiriki UEFA Iko matataniUkishaijua hiyo timu niliyokua nashabikia kabla ya City ndio uje uniambie nirudi, au unamaanisha soka la chandimu la simba na yanga ππ