Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,796
- 9,765
Yah hao ndio walikuwa wanatupa headache kwa sasaπππππUkishalijua Hilo Wala hupati presha na dogo kuodoka .. ukweli kupata Salah na VVD mwingine ni ghali sana kuliko kumpata Trent mwingine....
Tazama win percentage na contribution ya hao mwamba wawili utaelewa kwa nini FSG ambao sio waumini wa kuwapa so called wazee mikataba tena yenye malipo makubwa lakini kwa hawa wawili imekua exception bila kujali wage structure nk nk
YNWA
Well said Miss Liverpool......Yah hao ndio walikuwa wanatupa headache kwa sasa
Wamebaki, tuna amani sana.
Trent aende tu.
Tunamshukuru kwa mchango wake ila mfumo wa timu pia ulikuwa unambeba na kumfanya ashine.Well said Miss Liverpool......
Trent is disposable any day of the week minus his right foot crosses that we will miss dearly...his numbers are crazy...
Now Bradley has chance japo ni serial absentee due to injuries.
YNWA
Hujambo mdogo wangu?Check this coincidence ππΌ
In 1981, Liverpool FC were European champions and the Pope died.
In 2005, Liverpool FC were European champions and the Pope died.
In 2025, Liverpool FC are Champions-elect of the English Premier league and the Pope is dead
If we kill Liverpool FC surely the Pope will live forever.
Natumai hivyo pia kwa sababu ya ukimya wa dirisha lililopitaBoss kasema
Shkamoo dadaHujambo mdogo wangu?
Marahaba hujambo?Shkamoo dada
Tupo kwenye maandalizi ya ubingwaJukwaa limepoa utafikiri sisi sio mabingwa EPL hahahha
Mimi nimeshashona Suti kabisa tayari Kwa shereheπTupo kwenye maandalizi ya ubingwa
Na pia tokea mwaka 1962 , Liverpool hajawahi maliza ligi nje ya top 8ππNikiwa Tz hapa usingizi umekata usiku huu wa manane, nasubiri masaa tu nishuhudie ubingwa wa pili tangu nilivyoanza kushabikia hii team more than 20 years ago.
Leo tarehe 27, tupate point 1 tu iwe siku ya kihistoria, hahahhahaa.
Siku ya kihistoria?! ππππNikiwa Tz hapa usingizi umekata usiku huu wa manane, nasubiri masaa tu nishuhudie ubingwa wa pili tangu nilivyoanza kushabikia hii team more than 20 years ago.
Leo tarehe 27, tupate point 1 tu iwe siku ya kihistoria, hahahhahaa.
EPL mkuuSiku ya kihistoria?! ππππ
Au sababu tumechukua makombe 4 mfululizo ndio maana naona ni kitu cha kawaida.
Mlisema na msimu huu bila Klopp mnaupiga mwingi na kuchukua tena...Siku ya kihistoria?! ππππ
Au sababu tumechukua makombe 4 mfululizo ndio maana naona ni kitu cha kawaida.
Bill Shankly alikua na msemo wake mmoja ambao ni ...1st is 1st second is nothing π₯π₯π₯π₯.......Daah. Nyie wachovu mnabeba kombe aisee.
Huu msimu ni done n dusted sis ni mabingwa....it's a matter of when not what if.......Jukwaa limepoa utafikiri sisi sio mabingwa EPL hahahha