Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Safari inaishia hapo hao hamna kituSalute kwenu. Hakika game plan imefanya kazi home and away....
Next ni PSG ndio mfike fainali na mchukue Hilo kombe sasa aafu ndio tuwasalimie kama ma bingwa wa Ulaya.... if......
YNWA
Tumesha kuja mkuu na Mungu awatangulie muuchukue kabisa.Wakuu vipi habari zetu mmezipata? Mbona hamji kutusalimia mabingwa wa Ulaya?
😁😁😁Kumpiga Real Madrid home and away kumewapa sasa point za favourite aisee....Safari inaishia hapo hao hamna kitu
Tcho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mara pap ofa ya £100m je FSG watakataa sidhani. Kila mchezaji ana bei cha msingi hapa ni kupata maximum profit...
Usishangae sana kuona Real wakitoa ofa plus Tcho ambae Liverpool bado wanamfuatilia.
YNWA
Tcho ni bonge la MidoTcho
Camavinga
Ni wachezaji wanovu tuliowakosa
Tchouameni & Camavinga wote ni overrated players, hawawezi pata nafasi ya kuanza katika vilabu vingi tu.Tcho ni bonge la Mido
Liverpool hua wanafanya scouting ya plan A B C hivyo ngoja tuone ndugu kipi wamepanga....umbea wa media sio sanaaaa kuuaminiTcho
Camavinga
Ni wachezaji wanovu tuliowakosa
Nimemfatilia sana huyo jamaa ni m bovuTcho ni bonge la Mido
Umri+ mshahara wa KDB sio aina za usajili za LiverpoolHizi habari za KDB Kuja Liverpool mbona kama ni nzuri,japo ana miaka 33 naimani atatusaidia,maana nakumbuka Pirlo alisajiliwa na umri mkubwa Bado akiweza kuwa mchezaj Bora misimu 3, hvyo KDB atasaidiana na Szobozlai
VVD anaendelea kula £400k/w, kwanini ishindikane? Au mnadhani liva inalipa mishahara miduchu?Umri+ mshahara wa KDB sio aina za usajili za Liverpool
Salah anakula 500k/wVVD anaendelea kula £400k/w, kwanini ishindikane? Au mnadhani liva inalipa mishahara miduchu?
VVD sio new SigningVVD anaendelea kula £400k/w, kwanini ishindikane? Au mnadhani liva inalipa mishahara miduchu?
Last Summer Slot tested Magpies they refused to let Wing wizard join us even after giving Gomes plus cash they said no way....
Clever FSG that inclusive some bonuses merchandise income for Salah related to Liverpool.Salah anakula 500k/w