Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
At one time Fabian alikua target ya Liverpool enzi ya gwiji Klopp....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nuno Mendez kabla ya game kuanza alimwambia Salah " You will never walk alone"
Halafu ukiachana na Vitinha kuna tactician wa kuitwa Luis Fabian huyu jamaa ni mido haswa ni underrated player ila ndio engine ya Psg.
π€ π€ π€ π€ π€ π€ π€ π€ Saint Anne heloo.Ukiona penalty zimefika golini yupo Allison
Afu wapigaji ni akina Nunez, ujue hamna kazi hapo.
Mpunga wa Uefa ukiwa kinara ni tofauti na aliemaliza wa 2, 3 nkKwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?
Mdogo wako Nunez na ndugu zake Akina Jones wameua ndoto za Salah kushinda UEFA akiwa na Liverpool
π€ Slot "alibeti" of all the players kweli ndio Jones na Nunez wakapewa penati zile... Both have confidence issues kwa sasa...Mdogo wako Nunez na ndugu zake Akina Jones wameua ndoto za Salah kushinda UEFA akiwa na Liverpool
Slot Baba ubaya,akaamua kumtafutia Nunez lawama za mashabiki kwa nguvuπ€ Slot "alibeti" of all the players kweli ndio Jones na Nunez wakapewa penati zile... Both have confidence issues kwa sasa...
it's was suicidal by Slot
YNWA
Si juzi juzi tu hapa mlimpiga Tottenham kwenye fainali akabeba ndoo ya UEFA na liverkuku?Mdogo wako Nunez na ndugu zake Akina Jones wameua ndoto za Salah kushinda UEFA akiwa na Liverpool
Huyu Saint Anne ni tapeli tu, amechanganywa na PSG wamemkatisha ndoto zake za liverfool kuchuckua treble ndio maana kasahau kama salaha tayari ana UEFA.Si juzi juzi tu hapa mlimpiga Tottenham kwenye fainali akabeba ndoo ya UEFA na liverkuku?
Na leo Newcastle anatwanga kwenye mshono mpaka mseme πππSlot Baba ubaya,akaamua kumtafutia Nunez lawama za mashabiki kwa nguvu
Nunez kakosa anqjidai kumgongagonga kifuani..Akina Jones akina Nunez siyo wapigaji wa penati
Allison siyo mdakaji wa penati
Unamuachia Alison adake penati, wakati benchi yupo kelleher anakula tu gootime.
Hii mechi kupoteza lawama zote ziende kwa kocha.
Msimu huu unaweza kuwa wa mwisho Salah kuwepo LiverpoolSi juzi juzi tu hapa mlimpiga Tottenham kwenye fainali akabeba ndoo ya UEFA na liverkuku?
Timu ndogo ndogo kama mama Cita ambazo hazikutarajia kuchukua UEFA, hizo zikipata mara Moja zinaridhikaaHuyu Saint Anne ni tapeli tu, amechanganywa na PSG wamemkatisha ndoto zake za liverfool kuchuckua treble ndio maana kasahau kama salaha tayari ana UEFA.
Slop sio Kocha anatembelea upepo tuSlot Baba ubaya,akaamua kumtafutia Nunez lawama za mashabiki kwa nguvu
Nunez kakosa anqjidai kumgongagonga kifuani..Akina Jones akina Nunez siyo wapigaji wa penati
Allison siyo mdakaji wa penati
Unamuachia Alison adake penati, wakati benchi yupo kelleher anakula tu gootime.
Hii mechi kupoteza lawama zote ziende kwa kocha.
Hahaha mida yetu Ile ya lawama πLeo saa moja nitaweka Kambi hapa mpaka saa nane za usiku
Unateseka ukiwa wapi mama Cita?Na leo Newcastle anatwanga kwenye mshono mpaka mseme πππ
We need a proper squdMdogo wako Nunez na ndugu zake Akina Jones wameua ndoto za Salah kushinda UEFA akiwa na Liverpool
DuuhWe need a proper squd
Nunes
Jota
Jones
Sio levels zetu