King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Kweli nyakati zinaenda kwa Kasi sanaπππleo hii Alison becker pazia?Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja
Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
Kweli nyakati zinaenda kwa Kasi sanaπππleo hii Alison becker pazia?
Kipa mpaka awe pazia kila ukishoot imo whether ni penalty au sio penalty ...Alison kaokoa michomo sana leg iliyopita km angekuwa pazia msingefika matutaπNi michuano gani iliyoenda hadi penalty ulimuona Allison amedaka penati hata Moja?
Haizuii ukweli kwamba kwenye penati hana chochoteKipa mpaka awe pazia kila ukishoot imo whether ni penalty au sio penalty ...Alison kaokoa michomo sana leg iliyopita km angekuwa pazia msingefika matutaπ
Ndo useme Sasa sio mzuri kwenye penalty na sio kauli ya pazia...by the way kama sikosei Kuna michomo ya penalty alishawahi kuitoa km sikoseiHaizuii ukweli kwamba kwenye penati hana chochote
Ni kama alivyokuwa Mendy pale Chelsea
Golikipa mzuri sana mechi ikishaenda matuta hadaki hata Moja.
Niwekee hapa mechi ambazo Allison alidaka mikwaju ya penati.
Huku si ndo kwenye timu yake... anaona kwa timu zingine ila kwake haoniπYule mzee wa kutafuta mchezaji wa kueleweka, huku hatiagi maguu? au huku ndio wachezaji wote hawaeleweki.
Wewe pazia kwenye penati umeelewaje Mkuu?Ndo useme Sasa sio mzuri kwenye penalty na sio kauli ya pazia...by the way kama sikosei Kuna michomo ya penalty alishawahi kuitoa km sikosei
Relax πKauli Yako ya "umeweka pazia Alison adake"......sijaona kauli ya pazia kwenye penalty ..Wewe pazia kwenye penati umeelewaje Mkuu?
Maana yake hawezi kudaka
Na ndicho nilichoeleza Toka mwanzo.
Complain yako hapa ni ipi?
Kama hujaona basi siyo shida zangu MkuuRelax πKauli Yako ya "umeweka pazia Alison adake"......sijaona kauli ya pazia kwenye penalty ..
Kama hujaona basi siyo shida zangu Mkuu
Hata hivyo siyo lazima tulingane mitazamo.
Unaongea kama mtu asiyejua mpira, haya hata kwa upande wa Arsenal Odegard hakuwepo mantiki yako iko wapi sasa mpaka hapo?Backline tu ndiyo ilianza Jana lakini kwa viungo Kuna mabadiliko ukija kwenye ushambuliaji winga ile ya Napoli Kvaratskheli haikuwepo pamoja na dembele ambao kwa jana ndiyo walisumbua sana. Hao tu naamini wangetosha kuwapa arsenal kipigo kitakatifu.
Itakuwa umesimuliwa tu wewe hukuiona Liverpool hiyo ninayoiongelea mimi.2021/2022 Liverpool mbovu kabsa hiyo. Liverpool tulikua 2017/2018-2018/2019 hii Misimu miwili tulisumbua sana Ulaya nzima ilikua inaogopa kukutana Liver ANFIELD hatari yake pale mbele Salah, Mane & Frimino nyuma yake unakuta winjaldim/Keita na Fabinho aisee.. moto wake siyo Poa.
2021/2022 tulikua tumeisha jichokea wachezaji wengi wakina Firmino wameisha kabsa wanasumbulia na majereha wakina Thiago hapo tulikua tunaonyesha ushindani lakini siyo kama msimu wa 2018.
Kwa saivi pale tunahitaji tu'reform kikosi kuanza kuwapunguza wazee kama saivi City anavyo fanya vinginevyo misimu miwili ijayo tuteseka sana.
Akishakuwa na bad emotions kwa mchezaji huwa habadiliki hata kidogo.Miss Liverpool kwenye ubora wako
Akishakuwa na bad emotions kwa mchezaji huwa habadiliki hata kidogo.
mmeanza matusi?