Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,198
- 1,466
Uliwaambia mapema hawakusikiaKwa huyu kipa wa Psg inabidi hizi dakika 15 zilizosalia Liverpool wafanye juu chini wapate goli, la sivyo hili kipa la mikono 100 linaweza likawachomolea betri kwenye penalties.
Hilo kipa ni sawa na prime Edwin van DER sar