zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Mzee mwenzangu sijamuelewa kabisa mtoa post, nikaona nimpe ujiko, ila sio yeye tu, hata wale wanaosema tuliyochukua sio ya EPL kwasababu jina lilibadilika nawaambia tu kwa kisambaa YOU ARE RIGHT, yaani kwa kitaliono tunasema WANA AKII ZEAWA MWE NTIIIkwani wakati Liverpool anachukua hilo Kombe la COVID Man Utd walikuwa wameacha kushiriki EPL au


