Vitu vingi sana havielewi mpaka ajifunze kwanza,tuvumilie tu 😃SLOT kumbe na yeye kuna muda akili huwa zinahama.
Bado vimebaki vingapi mrembo?😂😂😂😂
Yaani mkuu aibu sana aisee. Viungo alowaweka ni Elliot,Nyoni na Mc Connell yaani wakina chiesa,Diaz na jota ikabidi warudi nyuma kufata mipira maana kule mbele wamesimama tu wamepiga low block ya hatari kama forest vile 😀,Haya ni matusi makubwa sana kwetu ila wacha tuvumilie tu
View attachment 3230998
Noma sanaTulifungwa na PSV na leo PLYMOUTH sababu kubwa ilikuwa ni ku- resting key players, Why squad depth is so important. This is where we need to strengthen in the summer.
If something happens to Virgil, Salah ,Gapko, Graven, Szob tutakuwa kwenye trouble kubwa, Our squad inahitaji more quality and depth to stay competitive .
Kwa timu ganPray for Newcastle United
1. Carabao loading...........
2. FA
3. EPL
4. UCL
5. Ngao
6. Super Cup
7. CWC
Yaani tusiache kitu
FSG hakuna kusajiri kikosi hiki kinatoshaTulifungwa na PSV na leo PLYMOUTH sababu kubwa ilikuwa ni ku- resting key players, Why squad depth is so important. This is where we need to strengthen in the summer.
If something happens to Virgil, Salah ,Gapko, Graven, Szob tutakuwa kwenye trouble kubwa, Our squad inahitaji more quality and depth to stay competitive .
Lazima tukubali matokeo ya mpira ni mchezo wa kikatili sana klop aliwahi panga chekea kama hivi first eleven ikiwa Qatar world club champion ilikuwa siku nzuri timu ikashinda elliot imekuwa ni bad luck kama siku siyo hata wangekuwa hao mahiri tungeondoka tu!Yaani mkuu aibu sana aisee. Viungo alowaweka ni Elliot,Nyoni na Mc Connell yaani wakina chiesa,Diaz na jota ikabidi warudi nyuma kufata mipira maana kule mbele wamesimama tu wamepiga low block ya hatari kama forest vile 😀,
Halafu ukiangalia nje hakuna Kiungo wakuingia labda wanaweza kubadilisha mchezo.
Elliot na yeye alikuwa anacheza na mikono kwenye box jamaa wakapata penalty biashara ikaishia hapo. Ikabaki kupasiana quansah na endo maana jamaa nyuma wa narudi 9 na muda mwingine 10 kabisa 😀yaani aibu sana 😀.
Hatuna cha kumfanya slot 😀.
Yaani mkuu aibu sana aisee. Viungo alowaweka ni Elliot,Nyoni na Mc Connell yaani wakina chiesa,Diaz na jota ikabidi warudi nyuma kufata mipira maana kule mbele wamesimama tu wamepiga low block ya hatari kama forest vile 😀,