Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20250131-WA0014.jpg
 
View attachment 3219036
Hawa madogo Dean Huijsen Miaka 19 na lllya zabarnya Miaka 22 tangu waanze kucheza pamoja pale kwenye ukuta wa Bournemouth hawajapoteza mchezo wowote.

Madogo Wana utambulisho wao wa kuvaa groves nyeusi mikononi na soksi fupi..

NB: inabidi tuwavue hizo Groves na tuzipandishe hizo soksi.(Just a jokes) 🤣🤣🤣
Utakuwa mchezo mgumu dhidi ya Bournemouth lakini naamini katika Spirit ya wachezaji wa Liverpool hasa hasa kipindi hiki ambapo radar ya ubingwa ipo upande wetu
 
IMG-20250131-WA0011.jpg


Ndio kusema 🤣🤣🤣

Real Madrid na Manchester City mmoja wao habari itaishia nafasi hii ya Play off maana anatakiwa mmoja tu kutinga hatua ya 16 Bora , hii inaenda kuwa final ya UEFA champions league play off.
 
Kesho anabamizwa, Man City wa moto asaivi ni balaa, sijui kama hata sisi tutatoka hata suluhu.
😂😂 Acha abamizwe tu tuzidi kuongeza gap mpaka tuje tukutane na city si ajabu arsenal atakuwa kashaangusha tena point kwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom