The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Watu wanaomuhurumia Pep watakuwa wamesahau ukatiliki wake,
Pep katesa wenzake kwa fedha chafu za wachimba mafuta.
Jamaa alikuwa na vikosi viwili vyenye uwezo wa kubeba major trophies, labda upande wa goal keeping hakuzingatia ila idara zingine zilikuwa zimesheheni.
Embu fikiria Class kama ya Alvarez inakaa bench, wachezaji wa £70m to £100m wanakaa bench (Grealish, Philips) Mchezaji anasajiliwa msimu mmoja hajadeliver anapewa msimu mmoja anaondoshwa mf K. Philips, leo LFC tunahangaika kumbakiza Trent kule kwa Pep Cancelo alizingua moja (turn ya Salah akafunga only goal at Anfield long ball from AB1), na ile game ya FA alipigwa bench akanuna ikawa mwisho wake, akaletewa mtu wa £60m plus.
Wakati tunahangaika na Academy players, kina Jones na Bradley, wawe seniors tuwategemee, Pep anauza anachukua ready made. Mf Palmer, Lavia.
Huyu akiteseka ateseke tu. Nikumbushe ni msimu gani pep alifungwa na:
Spurs
LIverpool
Man utd
Arsenal
Ndani ya msimu mmoja??
Hili joto analopitia Pep kuna wenzie vibarua viliota nyasi, na wengine walioga na kupuliziawa manukato ya aondoke tu aje Gerrard (in Saint Anne's Voice), huyu Jurgen Klopp, unakumbuka 2020/2021?? Je 2023/2024??
Acha Pep na Halaand wateseke.
Kudos to Arsenal.
Slot namdai ushindi pale Etihad Stadium 🏟️ 🏟️.
Arsenal na NF mmewahi kukimbizana only 1 point from feb to may bila kuikuta, ask Klopp 2021/2022. Zilikuwa 12 points zikapunguzwa ikabaki moja na Pep akabeba kwa point hiyo hiyo moja.
Karibuni sana Arsenal & NF kwenye hii marathon, we are ready for it. N.B target yetu ilikuwa top four tu sasa tupo kwenye "Bonus Mode"
Mateso kwa Pep yaendelee,
Best of luck to us.
Ynwa