Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Liverpool hii wa kuizuia hayupo.Dah.!! Heheh Naona una vibe sana, mwisho wa mwaka umekujia vizuri”
Ynwa
Liverpool hii wa kuizuia hayupo.Dah.!! Heheh Naona una vibe sana, mwisho wa mwaka umekujia vizuri”
Ynwa
Diaz hawezi kufunga goli hapo.Nafikiri hata Diaz ni mzuri kwenye aina hii ya magoli, ila Gakpo is much better than Diaz kwenye cutting ins na kuscore hatari sana jamaa huyu.
Diaz pia mzuri ila anafanya unnecessary dribbling kwenye box, badala ya kufikiria assist or scoring kwa kupima chances ya hizo mbili, include timing.
Utofauti ni decision kati ya Diaz na Gakpo, Gakpo ni mwepesi wa kuona fursa (assists & goals) na kuitumia, compare to Diaz.
Ynwa’
Tumekubembeleza weeeeHeheh, ukiona haiwi ujue kuna sababu
Hajachomeshwa mtu, naona umekuja kwa speed kubwa sana, kuna namna
Ynwa
Liverpool hii wa kuizuia hayupo.
dah nimecheka sana.amelewa keki na pilau ya krisimasi.
Akitaka kujua EPL ngumu acheki msimamo wa ligi alipo Manchester City huku Hallaad akiwa mzima wa afya..
YNWA
Sawaa mkuuSipo hapa kutaka kuaminiwa na yeyote kaka. Kama upo kusubiri everything uletewe na Fabrizio pekee its up to you my brother.
Unajua mpaka kuikataa LFC ni nini?? Kalete News amepost Fabrizio kwamba LFC wanted to sign Zubi per installment,
Zubi said yea to LFC but made a u-turn lately unajua kwa nini??
Leta post yoyote Fabrizio aliyopost kuhusu Zubi akisema amesema Yes.!! Go further real deals a behind the scene.
Sipo kutaka kuaminiwa nashare kile nachoweza kushare ni wewe na yule mtaamua kuamini au kutokuamini mkuu.
Enjoy your time.
Ynwa’
Kwangu hakukaliki natembelea majirani mtumishiWewe shabiki wa nyumbu unatafuta imani huku ya nini 😂
Tulipokuwa tunasajili kochaKwangu hakukaliki natembelea majirani mtumishi
Typical Nunez any day of the week.Maoni ya Mdau kwenye mtandao wa Fancast kuhusu Darwin Nunez
"Darwin is still worrying me. I've been watching him closely and he's like the square peg at the moment - like the kid who wants to join the gang but doesn't fit in, and then he tries too hard to impress the other gang members. He makes his runs too early or too late, the crosses from Salah and Gakpo, and Trent and Robbo just don't seem to find him, and his first touch is really poor and panicky. Not cool or composed, and the longer this goes on, the worse it seems to get. Vicious circle. He needs goals, and soon"
Saint Anne
Captain Marvelous
The MoNA
😉Henderson huyu huyu alikua anazomewa kiaina ama mwingine na je kama kweli alikua fan favourite mbona aliuzwa na mashabiki wakasahau chap na kusonga mbele...Hapana
Hiyo SI unit ni ya kwako wewe.
Mimi fan toka Nanjilinji
Kumidiss lazima maana jamaa ni chenga tu.. kama tu wewe fan kutoka Dsm ulivyokuwa unamdiss Hendo, wakati kuna mashabiki kindakindaki wanalipa kiingilio kwenda kumuona 😊
Lol Klopp cursed that boy, never again did he reach those figures aisee..
Dogo atapiga ela ndefu kama akiodoka bure design kama Mbappe yaani...
Diaz vs Gapko.
Yaaaani nakumbuka of al the Pundits alikua Neville anamwambia Klopp you will never win any trophy akiwa na Karius au Simon na mabeki wale na Klopp akagoma until he learned the hard way kupigwa fainali na Sevila na Real Madrid yaani.Arne Slot may overtake Klopp Status
Jordan Henderson, Karius, Milner will make Klopp to regret for all eternity
Diaz hawezi kufunga goli hapo.
Ana chenga mno.
Magoli ya hivyo wanafunga wachache sana
Akina Trent na Gakpo.
Tumekubembeleza weeee
Watoto wa elfu 2 na kumi![]()
Gwiji chambuzi wa kimataifa mtaalam The MoNA
Gwiji chambuzi wa kimataifa mtaalam
Unaitwa?
Sure.