Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,679
Na real Madrid wanasema hawato sajili ila wanamsubiri as free agent.Dogo atapiga ela ndefu kama akiodoka bure design kama Mbappe yaani...
Kama ni kweli basi agent Bellingham kafanikiwa parefu kumgeuza dogo kwamba maisha yapo Madrid atashinda na Ballon pale🤣🤣🤣nipo hapa nasubiri miujiza mie.
YNWA