Watu mmechafukwaMichael Edward mwezi summer ondoa hizi takataka DIAZ ,GAPKO, GRAVENBERCH




Hawatukamati yani mpk nasikia raha kuvaa jezi yangu kitaani 😂😂😂Arsenal 😅
Niliongea hiki kitu lakin kuna jamaa huko juu akakataa oooh! Timu haitegemei mtu mmoja.hii timu tumejaza takataka!
angekuwepo jota tungekua tumeshinda hii game, diaz ni kiazi sana!
My Prediction today 👇
- Liverpool winning 25%
- Manure Winning 35%
- Draw 40%
As long as kwenye utabiri wangu hakuna result iliyovuka 50% basi lolote laweza kutokea but mathematically ni lose or draw, even though I'm going for a draw.
Niliongea hiki kitu lakin kuna jamaa huko juu akakataa oooh! Timu haitegemei mtu mmoja.
Lichezaji muda wote lina kimbia kimbia uwanjani for nothing, Desicion making halina kichwa kimejaa funza




bila shaka hili nili DiazWameyakanyaga pale juu ndio hatutoki tena.Hawatukamati yani mpk nasikia raha kuvaa jezi yangu kitaani 😂😂😂
Taratibu ndugu zangu ....DJ tupigie wimbo sisi liverpool tunacheza tukinyatanyata ,tukiunyatia ubingwaLichezaji muda wote lina kimbia kimbia uwanjani for nothing, Desicion making halina kichwa kimejaa funza