Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijaona sababu ya Watu kupanic na kuanza kutukana kocha na Wachezaji.

Tatizo la sasa Madogo wanaingia uwanjani na matokeo mfukoni hata tunapowaelekeza sura ya mchezo ilivyo huwa hataki kukubali hatimae mambo yakiwa sivyo walivyotarajia wanaanza kupanic na kurusha matusi.
 
Klopp bora alivotangaza kuondoka, huwa inajulikana tuu mechi za hivi hawezagi kushinda kamwe, Pep hanaga ujinga wa hivo

Bado sare ingine ya either Everton away au Spurs at home, shuhuli inaisha
 
Sijaona sababu ya Watu kupanic na kuanza kutukana kocha na Wachezaji.

Tatizo la sasa Madogo wanaingia uwanjani na matokeo mfukoni hata tunapowaelekeza sura ya mchezo ilivyo huwa hataki kukubali hatimae mambo yakiwa sivyo walivyotarajia wanaanza kupanic na kurusha matusi.
Ngwaba, Kila mtu anayo haki ya kuwa na Personal Judgement kwa mchezaji.

Hatulazimishani kuamini kile mtu anacho kiamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom