Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 570
- 767
Well again super changer steven mwamakombe Gerrard
Kila mchezaji ana bei ujue🤣🤣 ma Yankees wamemrejesha Edwards kwa maamuzi kama ya kumuuza TAA(in our dreams) nwa....Haendi popote huyo
Nyie hangaikeni tu
Chini ya Edwards tuko salama ndugu..Naziogopa sana siku hizo
Sitamani hata zifike
kwa kuwa umeongea wewe, ngoja nitulie nione itakavyokuwaChini ya Edwards tuko salama ndugu..
Kimsingi huyu Edwards ingefaa tu apewe hisa pale FSG ili azidi kuwapa ma Yankees amani maana jamaa ni genius sana hua hana papara na kila mchezaji anaemfuatalia hua ana back up plan ya mchezaji wa kwanza ikishidikana ana wa pili nae ikishidikana kuna wa tatu.. Huyu mwamba bila yeye Klopp wala asingefikia alipo klabuni, set up ya kuchakata data aliasisi na kuifanya kua bora Ulaya kiasi hata Barcelona na Real Madrid walishamtupia jicho kumhitaji bwana mdogo lakin alikomaa hapana na leo hii huyu hapa Anfield, odoa shaka kaka tupo katika mikono salama.
YNWA
Inamaana mechi zote zinafanyika OT?ImMrLiverpool...tunakumbushana tu..mna mechi nao tena Hawa Manunu pale OT kwny ligi kuu...leo mmechinjwa na kombe la EPL hamtakaa mlione kamwe🤠🤠
Zinafanyika viwanja tofauti...OT..Anfield..Goodison Park...London stadium...Villa Park...Inamaana mechi zote zinafanyika OT?