zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Hivi alikuwa mchoyo au sisi mashabiki ndo tulikuwa tunataka amu assist MANE kwasababu tu za ubaguzi wetu? Maana kama alikuwa anaongoza kwa assist Uchoyo uko wapi?Sio kwamba uchoyo kapunguza, yaani kaacha uchoyo kabisaaaa![]()

inevitable,hauepukiki.
Gakpo

