Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Watu hatuoni haya mpaka wachezaji wachoke kwa matumizi ya nguvu bola akiliUjue muda mwingine nawaza hata system yetu ya uzuiaji ni mbovu kwa kweli, sasa ukija kuweka na individual weaknesses ndio kabisa tunazidi kuwa wazi.
Bado Klopp hajajipata kusema ukweli bahati nzuri tunashinda pamoja na kuchechemea kwetu.
.dah!,kutoka huku Nanjilinji.