Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii ni Red Card yetu ya 4 msimu huu.
Hatuna kawaida hii hivyo Klopp arudishe nidhamu kwenye Timu.
Leo ilikuwa ni mechi muhimu sana kwetu ya kupata matokeo hivyo Wachezaji hawakupaswa kufanya makosa ya kinidhamu kama haya.

Hata hivyo simlaumu Jones wala Jota kwasababu haya mambo ni kawaida kutokea mchezoni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…