Mimi sitaki tena Salah auzwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.
Mimi sitaki tena Salah auzwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.
Issue ni kwamba hana Consistency kupotea kwake ni rahisi sana
Issue ni kwamba hana Consistency kupotea kwake ni rahisi sana
Morali ni kubwa mno
Timu haijakikatia tamaa kama ile ya msimu uliopita.
Ila tuwe makini na hivi vipigo vya 1st half.
City jana wameshindwa chomoa hivihivi wanaona.
Naangalia magoli hapa miaka ya kina Suarez
Ila kumbe Le captain Hendo alikuwa anajitahidi[emoji23][emoji23]
Liv _Spurs mwaka 2013 sijui 15
Naona sikuizi Klopp nae kikosi kipana anafanya Rotation tu, Kwasasa naona tupo mikono salama atleast tofauti na zamani.
Hata kama hatutakuwa Title contenders ila naimani Msimu ujao tutajipanga na tutukuwa vizuri.
New sign naona zime adapt haraka mfumo na mbinu za klopp, hvyohvyo na new sign za Chelsea naona zimeadapt haraka sana hasa huyu Moises Caicedo anakichafua sana [emoji23][emoji23]
Hana deadwoods nyingi na ma injury prone, amebaki Thiago,Matip na Konate
Issue ya Inconsistency kwa Jota alikuwanayo tokea yupo Wolves ndiyomana hata kule Wolves hakuwahi kuwa mchezaji wa uhakika wa kikosi cha kwanza bali alikuwa upataji wake wa nafasi ni kama anavyopata hapa Liverpool.Injury pia zinachangia. Jota ana ka series hivi, anawaka injury akirudi anachelewa kuwaka, anawaka tena injury akirudi anachelewa kuwaka. Thats Jota: Let him be injury free and he will give you goals and assits
Nimeshangaa sanaHenderson aliyecheza na Stevie G alikuwa mzuri.!!!
Next season na Thiago anaondokaHana deadwoods nyingi na ma injury prone, amebaki Thiago,Matip na Konate
Point of correction
Sare Moja.
Mech 6 points 16
[emoji2]wapo kwenye mazungumzo kumuongezea mkatabaNext season na Thiago anaondoka
mechi ya tot, brighton na mancity kwa liverpool ni test tosha kwetu msimu huuNext time Spurs kwenye Uwanja wao!
Tumecheza game 5
Tumeshinda 3
Sare 2
Hatujapoteza
mechi ya tot, brighton na mancity kwa liverpool ni test tosha kwetu msimu huu
Nahizi timu kubwa kwa staili hii ya kuruhusu goli itatugharimuUsimuondoe Arsenal. They can challange us even to win especially wakiwa Emirates.
Utd at OT don underestimate them vs Liverpool.
And this is EPL unaamka vibaya unabondwa hata na Luton huko.