Hamna Draw pale mkuu.Spurs tusiwaruhusu waanze kutufunga. Itatucost. But naona mechi kama draw
Mimi sitaki tena Salah auzwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.Utofauti wa mtazamo juu ya kile mtu akitakacho.
Haukumbuki kuna watu walitaka Salah auzwe tuna Origi na Shaqiri???
Thats football, japo kuna muda huo mtazamo unavuka mipaka, kusema Konate mzito. Hizo recoveries za counter anazifanya upande wa TAA walau mbili hivi huwa haoni???
Issue ni kwamba hana Consistency kupotea kwake ni rahisi sanaHe is very sharp, hafikiri mara mbili
He has good timing with headers
Zsobo anajua mnoooo Keita alikuwa ni Mfanyakazi hewa.Nunez akifika golini miguu inapata makengeza
Anaanza kujishauri[emoji706]
Gakpo japo kafunga ila ana kaubinafsi na kupoteza muda.
Soboszlai hajaremba kabisa
Kituuuu ndani.
Salah na Jota ni aina ya watu ninaowataka golini
They don't waste time unnecessarily.
Ndo timu gani hii mkuu ina usajili wa nchi gani maana naitafuta kila mahali timu jina hili sijapata kuionaLiverpool tupo sawa msimu huu
Next stop ni White Hart Lane hapo London.
Liverpool HALISi tuna Mungu wetu anaye tuongoza
Dominic anaupiga mwingi sana.Zsobo anajua mnoooo Keita alikuwa ni Mfanyakazi hewa.
Zsobo analainisha eneo la kiungo, anasaidia kupeleka mashambulizi na anafunga pia na anatuliza sana timu. Yeye na Mac Allister wamesaidia sana zile kelelee za eneo la kiungo zimepungua. Mac Allister nae ni Kiungo Mvunja kuni 😂😂😂😂Dadekiiii
Hajawahi kuboaEndo leo wamoto sana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Morali ni kubwa mnoAtleast.
I enjoyed few things kwenye mechi ya jana
We have atleast depth, unlike last few season.
Unaona whole team iliyoanza jana inacheza kwa kujiamini pressing ya kutosha energy na njaa ya kufika huko juu. Tuna gain momentum kwa kadiri siku ziendavyo.
Europe group stage FA and Carabao itatupa game time nzuri sana kwa vijina.
Katika mpira huwez maliza League bila kunyooshwa mkuu hicho ni kitu cha kawaida na yote yatakuwa ni matokeo hata kwa Newcastle mlisema hvyo subiri dk 90 nazanyongeza zitasema pia.Spurs atawanyoosha Punda nyie.
Endeleeni kijuipa false hope….
Jokes [emoji23]……
Hana deadwoods nyingi na ma injury prone, amebaki Thiago,Matip na KonateNaona sikuizi Klopp nae kikosi kipana anafanya Rotation tu, Kwasasa naona tupo mikono salama atleast tofauti na zamani.
Hata kama hatutakuwa Title contenders ila naimani Msimu ujao tutajipanga na tutukuwa vizuri.
New sign naona zime adapt haraka mfumo na mbinu za klopp, hvyohvyo na new sign za Chelsea naona zimeadapt haraka sana hasa huyu Moises Caicedo anakichafua sana [emoji23][emoji23]
Punguza makasiriko Asernane8,Spurs atawanyoosha Punda nyie.
Endeleeni kijuipa false hope….
Jokes [emoji23]……
Afya ya akili ni shida kubwaSpurs atawanyoosha Punda nyie.
Endeleeni kijuipa false hope….
Jokes [emoji23]……
Spurs tusiwaruhusu waanze kutufunga. Itatucost. But naona mechi kama draw
Hamna Draw pale mkuu.
Spurs atakufa , maana uwezo wa kufunga liverpool ni mkubwa ,, kwahyo mashaka ni uwezo wa kutokuruhusu wascore.