Kwani kuwa mgeni dhambi? Ungekuwa ummemjua Malafyale wala usingehangaika kumjibuAcha ujinga wewe tumjue anatusaidia nini hili ni link ya mwanaliverpool yeyote duniani unaleta. Habari za ugeni jamii forum yako
π π π Wahuni sio watu wazuri ujue..Pia UEFA fainali na Madrid Goli pekee la ushindi na ubingwa wa R.Madrid lilitokea kwa TAA pale Klopp angetakiwa kushtuka Dogo akiwa RB mda mwingine anakuwa kama chambo. Wahuni wakiwa wanatafutaga magoli ya Comeback Huwa hawachagui upande mwingine, wanasarandia upande uleule wa TAA.
Salute you Miss Liverpool...Nipongezwe kwanza kwa kazi niliyoifanya.
Matip dirisha dogo anaondoka
Hili nalo ni la kuuliza?Salute you Miss Liverpool...
Bingwa nani msimu huu EPL? π π π
YNWA
Umekurupuka sana.......na umepuyanga vya kutosha ni bora usingemquote ungeeleweka na wengiAcha ujinga wewe tumjue anatusaidia nini hili ni link ya mwanaliverpool yeyote duniani unaleta. Habari za ugeni jamii forum yako
Acha ujinga team ikizingua lazima mashabiki waongee yaani wanaongea mashabiki waliopo Jiji la Liverpool sembuse wewe mshamba mmoja wa Tanzania ndio ukataze watu kuongea timu ikifanya vibaya
Usitupangie
Team siyo yako pekeyako.
Tutaisema tu kwa kadiri tunavyoweza,
Wanaoimiliki timu wapo zao huko duniani,
Mimi na wewe ni mashabiki tu kutoka
Mabondekuinama.
Feki utakuwa wewe kutoka Tukuyu.
Usitupangie
Team siyo yako pekeyako.
Tutaisema tu kwa kadiri tunavyoweza,
Wanaoimiliki timu wapo zao huko duniani,
Mimi na wewe ni mashabiki tu kutoka
Mabondekuinama.
Feki utakuwa wewe kutoka Tukuyu.
Acha ujinga wewe tumjue anatusaidia nini hili ni link ya mwanaliverpool yeyote duniani unaleta. Habari za ugeni jamii forum yako
Yaani wewe nyani wa tukuyu ndio uwe Liverpool halisi hii kakli aisee na wazungu waliopo Jiji la Liverpool ambayo ndio timu yao wasemajeπ€£π€£π€£Kuongea ni sawa na kutukana?
Kuongea yyt anaongea,kutukana ni nyie Liverpool feki
Dadaako pia anakupinga π π€£Dah
Mwee!
Ilikua kuna ulazima gani wa kutaja sehemu ninayo toka?
Umenikwaza sana!
Lkn za siku nyingi mrembo?Happy new year
Na iwe hivyo hivyo hivyo.... Bring it's on. π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯πππHili nalo ni la kuuliza?
Liverpool bingwa, andaa tu makwapa ya kunyanyuaπ€£
Europa nayo tunashindwaNa iwe hivyo hivyo hivyo.... Bring it's on. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119]
YNWA
Nitumie matoki kutoka hapo Liverpool ya KandeteDah
Mwee!
Ilikua kuna ulazima gani wa kutaja sehemu ninayo toka?
Umenikwaza sana!
Lkn za siku nyingi mrembo?Happy new year