Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mpka hapa gw5 tumekuwa 2nd team. Pressing inakuwa kubwa hasa
 
Hapo tu ndio hua natoa macho ndugu yangu maana Klopp anapingana na data proven stat kwamba dogo output yake kama RB anatuangusha sanaaaa....

YNWA

[emoji81]badala yake akampiga kitambaa, na kumuomngea majukumu piga RB without ball and with a ball piga MF hapo fasta,. Sawa bwana mdogo akakubali
 
Hivi ndio msimu huu tulikwenda Manchester United Ole Trafford wakiwa na majeruhi wa kutosha aafu Klopp akapanga kikosi cha sare?

YNWA

[emoji81] halafu cha ajabu wakati wa mechi bado key players wao waliumia na wakaingia madogo na tukashindwa kushinda.

Ila huko mbeleni tulikuja kushinda nyingi nyingi ila hazikutusaidia moja kwa moja.
 
Mpka hapa gw5 tumekuwa 2nd team. Pressing inakuwa kubwa hasa
Now how do we balance pressing and defending... That the elephant task...

In those days kabla ya VVD na Allison kutua we could leas by 2 or 3 lakini gemu itaisha sare ama kipigo kwa sababu balancing when the spaces uwanjani was a bit problematic and i see same situation hapa.. Take goli la leo la Wolverhampton tazama how the assist was made 3 or 4 Liverpool players didn't have a clue how to react and that dangerous for us...

Timely reaction is the key...

YNWA
 
[emoji81] halafu cha ajabu wakati wa mechi bado key players wao waliumia na wakaingia madogo na tukashindwa kushinda.

Ila huko mbeleni tulikuja kushinda nyingi nyingi ila hazikutusaidia moja kwa moja.
Ikifika January kwenda May every 3 point count hivyo kuzikosa kama vile was always gonna be a problem for us....

Kwa sasa tusubiri January 2024 mapema kabla mambo hayajawa mengi FA, Carabao nk tujikusanyie as many point as we can...

YNWA
 

He was boring INDEED as a experienced and professional coach as him hakustahili kuyazungumzia hayo kama sababu ya kupoteza mechi
 

Amjaribu Endo as RB na TAA asogee RCM..!!!
 
Kabisa. CL 1 plus 2 epls.

Milner & Henderson angewaachia mapema tu keita plus Ox hawa wametuchelewesha kwa hisani ya Klopp
Klopp is poor in recruitment.. Kuanzia 2018 mpaka 2021 alisajili MF wawili tu Keita na Thiago na wote ni full unpredictable fitness aafu tulalamike Kipara akishinda mara kwa mara EPL yote hayo anayaka Klopp mwenyewe

Timely recruitment =serial winners

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…