Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kamanda, matamanio yako ya kumaliza nje ya top 4 ndo reality iliyopo mbele yetu, realistically tunagombea nafasi ya kucheza Europa next season (tunaweza pia kuikosa).

Kwa usajili waliofanya Chelsea watakuwa ndani ya top three with Man City, Arsenal na wao Chelsea. Fourth place ni either Man Utd au Newcastle (they are both better than us currently). Sisi tunapambana na Tottenham, Brighton, Villa na West Ham. Tukifanikiwa kusajili top CDM na CB labda tunaweza kupata nafasi ya nne na hapo ni kama tutasajili instant hit na sio potential players, zaidi ya hapo ni miujiza tu ndo tunangojea.

Ukiangalia vizuri hapo utagundua kuna timu 5 ambazo ni bora zaidi yetu, then kuna timu nne ambazo ndo saizi yetu. If we collapse and players lose motivation tunaweza kujikuta tupo number 8 mpaka 10. Kama wachezaji tulionao wakipush to their limit labda tutakuwa between 5 mpaka 7.

Zaidi ya hapo ni over achievement (top four)
 
hii timu tusingefika hapa kwa ujinga wa klop,......
 
FSG wanaingia kwenye lawama kwa kuchelewesha kutoa pesa. Deal la Caicedo ingekuwa ni Panic signing ila ni positive sana.

Lavia he is right to reject us, kwa sababu tulimuacha na kukimbilia kwa Caiceido akajiona hana nafasi Liverpool (hajajaaliwa).

Mzigo umezidi kuwa mkubwa sana kwa Liverpool recruitment staff. DM kwa sasa wapo wachache na waliopo sasa ni

Andre from Fluminense (£35m) huyu hawataki kumuuza kwa sasa mpaka January ligi ya Brazil ikiisha. DM

Florentino Luis from Benfica (£60m) DM

Goncalo Inacio (£40m) CB Sporting CP.

We need to structure things in our club.
 
hii timu tusingefika hapa kwa ujinga wa klop,......

Mkuu upo sahihi kwa 99.9%. Embu ona hii.

Edward alimwambia Klopp replacement ya Hendo na Milner ni Enzo Fernandez na Bruno Guimaraes haina haja ya kuwaongezea mikataba mirefu, Klopp akakataa. Klopp akawakingia kifua waongezewe mikataba tena mirefu.

Hapa ni Kabla ya Enzo na Guimaraes hawajulikani, Klopp akakaza. Ndio maana mwamba akaamua kujiondoa.

Ukweli ni kwamba Edward aliiweza sana policy ya sell to buy, tena sana tu. Ujuaji wa Klopp umetufikisha hapa kwa mazuri na mabaya pia.
 
Bilashaka Hata Buvak alimkimbia kwa haya haya ya kujifanya kujua sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…