Mkuu sio panic...hii timu ya kijinga sana, ndio watoe 110????
hii hela si bora wangepata mlinzi mmoja wa uhakika, na kiungo mmoja?
anyway, hii ni paniki bila shaka
Chelsea kayakanyaga mwenyewe huwezi kuingilia dili la mwingine wakati yupo hatua za mwisho za kukamikisha usajili wa lavia.Tumewachezesha samba wakakubali. Now uza yule Thiago. Mtu yuko wodini kila siku. Bojetic anaweza fanya kazi yake vzr tu
Unamchukuliaje caicedo mkuu?!! au unahisi mafanikio huja tuu bila gharama na ku-take risks. Kwa mda huu Hiyo 110 ukiigawa unapata vichezaji vya Hovyo ambavyo vitaishia kukaza kali0 benchi lawama zinarudi kwenye ubahili[emoji849]hii timu ya kijinga sana, ndio watoe 110????
hii hela si bora wangepata mlinzi mmoja wa uhakika, na kiungo mmoja?
anyway, hii ni paniki bila shaka
Hawa matajiri wapya wa Chelsea Wana tabia hizo, EPL hakukuwa na hijack za kijinga hivoChelsea kayakanyaga mwenyewe huwezi kuingilia dili la mwingine wakati yupo hatua za mwisho za kukamikisha usajili wa lavia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetishaHawa matajiri wapya wa Chelsea Wana tabia hizo, EPL hakukuwa na hijack za kijinga hivo
Yule Lavia Liverpool alikuwa anajitongozea taratibu, Chelsea wanakuja kuharibu
Mtu unajitongozea demu ,anakuja muhuni anafanya dharau, dawa unaenda kubeba mke wake
Sawa kaka utupe na kinyeo chako kama offer mkuu
Wewe unakuja na matusi tunakupokea hivyo hivyo[mention]Saint Anne [/mention] unaona ndugu yako lkn [emoji35][emoji35][emoji35]
Hata ningekuwa mimi ningeondokaKlopp anaweza kuondoka January...
Inasemekana pesa ya usajili ndo sababu
Team la kipuuzi hiliHata ningekuwa mimi ningeondoka
Sema naye ni mzembe,anashindwa kukaza.
BrotherTeam la kipuuzi hili
Niambie ndugu yanguBrother
Aende baba wa watuTeam la kipuuzi hili
Nakuja kukuoa mamaAende baba wa watu
Timu Lina laana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heri niendelee kukupenda pekeyako kuliko kulipenda timu halina plan yoyote ya maana.,linazidi kuchanja mbuga vichakani Europa.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππNakuja kukuoa mama
Usiwaze
Usicheke...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππUsicheke...
Unataka tufanye mapenzi bila ndoa hapana
Mimi nakuja kukuoa achana na hii livapuli
Caicedo kaikataa Liverpool, ngoma sasa ni bila kwa bila. Hukumu ya usajili wa Caicedo uko mikononi mwa Chelsea
Alaaa. Mimi mnimeshawapongeza Livakuku Kwa kumnasa Caicedo na kutulipizia kisasi Kwa Chelkenge Kwa uhuni waliotufanyia Kwa Mudy. DaahCaicedo kaikataa Liverpool, ngoma sasa ni bila kwa bila. Hukumu ya usajili wa Caicedo uko mikononi mwa Chelsea