Acha kua na mawazo mfu ya bila Fulani nisingeKwa mapungufu yote hayo uliyotaja hebu nitajie kocha gani mwengine angeweza kukibebea hiki kikosi mpaka hapo alipofikia yeye tu! Tatizo hapa ni FSG wabahili! hata hao wachezaji wazuri tulionao tuwewanunua kwa kuvizia e.g. Salah, Mane etc. wote wamekuwa wakubwa kwenye mikono ya Klopp.
Bila ya klopp kamanda na sisi tungekuwa kama Chelsea kama sio Everton.
Unadhani mtu kama Pep angefanyiwa huu ujinga ambao anafanyiwa yeye na yupo kimya anasema squad inatosha,hadi damu zimtoke ndo anashtuka.Mi nadhani he is just being proffesional, kuna makala moja nilikuwa nasoma leo inadai privately amechoshwa na lack of signings na atafikiria his options ikiwa FSG hawatompa support kwenye usajili msimu huu, inaonekana kama ana-consider post ya Germany national team .
Binafsi naamini kunaweza kuwa na ukweli coz jamaa alisema mwisho wa msimu uliopita kuwa anataka kufanya overhaoul ya midfield mapema ili apate muda wa kutosha kufanya nao kazi pre season kitu ambacho hakujatokea zaidi ya wachezaji wawili tuliosajili.
Umetoka nje mada bwana motivational speaker.Acha kua na mawazo mfu ya bila Fulani nisinge
Cheki ripoti za muda huu kwa Melisa utajisahihishaLiverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo
Tukutane Jumapili, msiogope Caicedo hatacheza
Atakaposhtuka KALIWACheki ripoti za muda huu kwa Melisa utajisahihisha
Unaichukuliaje Liverpool?Liverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo
Tukutane Jumapili, msiogope Caicedo hatacheza
Mkuu hii TIMU siyo ya kingese Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu tuliofanya Ni undava [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Roho chafu tu manina
Hapa sio ya kingese tenaMkuu hii TIMU siyo ya kingese Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa hivyo...ila caicedo ni chuma KILE....LEO NIMEAMKA NA NGUVU MPYA KABISA...Hapa sio ya kingese tena
Ila hii movie Ni kumtuliza klopp inaonekana kiliwaka humo ndani
Pia inawezekana liva walimind mcheza wa Chelsea kwenda kwa lavia
Bro 110 hela nyingi sana hio hela ya kumchukua Bellingham au Federico Valverde
Hii move Ni ya hasira za klopp itakua aliwatishia nasepa
Klopp 2.0 version is coming..Itakuwa hivyo...ila caicedo ni chuma KILE....LEO NIMEAMKA NA NGUVU MPYA KABISA...