Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wote hao hakuna kitu, umeona kikosi cha pili kwenye mechi dhidi ya Leicester....kuna madogo wanahitaji kuja kuwa kumbusha hawa mabeki wajibu wao ..
Klopp huo uthubutu wa kuwaamini vijana wadogo hana

Kwenye hizi mechi za pre season utaona akiwatumia sana
ngoja ligi zianze sasa imani inakuwa ndogo sana kwao sijui kwa nini
 
mkuu si tunaenda kujilinda sasa! Ahahah

Btw nimekuelewa Mido wawili itakuwa fresh sana mabeki wa kati tunao wengi hata kama sio bora kihivyo
ulinzi wetu utakuwa ni kati kati mwa uwanja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…