Hao midfielders wapya hawajatuonesha chochote bado mshaanza kuwaponda walipitaGoing from Milner ,Keita ,Arthur ,Ox ,Henderson To Szoboszlai, Mc Allister and ( Lavia) is sunch a mental Upgrade.
We go from one of the Worst Midfields in the league to one of the Strongest all in on Window.
Wahajatuonesha nini ????Based off last season.......If actually think Milner or Keita or Henderson or Ox is better than Mc Allister or Szoboszlai unajidanganya.......Simple......Kulingana na Msimu uliopita hakuna kiungo yoyote mwenye uwezo tuliyemuacha anayeweza kuwafikia uwezo hawa tuliowa-signs mpaka sasa.Hao midfielders wapya hawajatuonesha chochote bado mshaanza kuwaponda walipita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Matip na Gomez hawaondoki?Ox
Milner
Henderson
Keita
Thiago
Fabinho
Arthur.
Wachezaji wanaondoka ni hawa tu?..
Wapo bado...Kwani Matip na Gomez hawaondoki?
[emoji15]Wapo bado...
Utashangaa ataondoka Jones..
Back in 2017, 2018,2019 Nikikumbuka ubishi wa jamaa wa Liverpool halisi na Liverpool fake. Nikasema ngoja niite wana liverpool fake wenzangu😃. Maana ubishi wa uwezo wa Hendo ndio ulileta yote hayo.Nimeona Notification yako ikabidi nije nichungulie kuona kunani.
Sikuwahi kuwaza kama Liverpool inaweza kumuuza Henderson lakini imetokea
Hatutamuona tena Shujaa Hendo akiwa kwenye kikosi chetuNimeona Notification yako ikabidi nije nichungulie kuona kunani.
Sikuwahi kuwaza kama Liverpool inaweza kumuuza Henderson lakini imetokea 👏👏
Liondoke tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatutamuona tena Shujaa Hendo akiwa kwenye kikosi chetu
We want him to stay 🥺Liondoke tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Saint Anne acha unafk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We want him to stay [emoji3064]
Alafu njoo inbox basiWe want him to stay [emoji3064]
In love with Captain Hendo@Saint Anne acha unafk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umenikumbusha mzee MalafyaleBack in 2017, 2018,2019 Nikikumbuka ubishi wa jamaa wa Liverpool halisi na Liverpool fake. Nikasema ngoja niite wana liverpool fake wenzangu😃. Maana ubishi wa uwezo wa Hendo ndio ulileta yote hayo.
Ni tatizo ngoja tusubiri.....ila kiukweli ni tatizoOutgoing ni 7 Hadi sasa
Wakati incoming ni wawili tu..
Katika hao 7 waliokuwa wanatumika hawazidi watatu (3) wengine wote (4) walikuwa ni wakushinda vitandani tu.Hawakuwahi kuwa na Msaada wowote ule kwa team walikuwa ni Mizigo.Outgoing ni 7 Hadi sasa
Wakati incoming ni wawili tu..
Me pia nawashangaa hao wanaohofia number ya wacheza walio ondoka.Katika hao 7 waliokuwa wanatumika hawazidi watatu (3) wengine wote (4) walikuwa ni wakushinda vitandani tu.Hawakuwahi kuwa na Msaada wowote ule kwa team walikuwa ni Mizigo.